Mapenzi ni matamu Sana ila ukiendekeza unaweza kuwa ndondocha wa binadamu mwenzako!huyo jamaa Hana tofauti na ile sanamu pale posta Ni mwanaume kwa jina tu!Pole sana Kaka yangu ningejua ni kichaga kumbe hata Kaka yangu chuma cha mjerumani au Pacha wangu MBIIRWA wangenisaidia kutafsiri. Hahaaaa.
Usijali Mkuu pole sana ndio mapenzi hayo kila mmoja ana ya namna yake.
Mkuu KO ni nini hiyo!!!?Mwingine ameshapigwa KO tayari hahahahahaha
..hayo mashairi atakuwa kafundishwa na my wife wake,..Ndio mwenyewe kaona yanamfaa sababu mpaka kayaunda mashairi hivyo ujue bado anampenda mkewe hapo.
Ila mapenzi bwana acha tu yaitwe mapenzi aisee
Amesema ni msukuma sijui msukuma wa wapi? Huu ni ulimbukeni .. Mke anaenda kulala kwa kaka yake ambaye hata hamjui vizuri na anamkataza asiende naye mwanaume ametulia tu?!! Ni zaidi ya uboya.. Na kwa vyovyote huyo Aisha sio wakeUjue mpaka jamaa amenipa hasira !!
Ivi mkuu, hawa wanaume wa aina hii ni waukanda gan???. Ivi kanda yetu pendwa , kuna Mwanamme wa kulalamika bila kuchukua hatua??.
Hahaaaa. Kabisaaaaaa. Ila nimecheka "my wife wake" duuh...hayo mashairi atakuwa kafundishwa na my wife wake,..
..KO=Kipapai OriginoMkuu KO ni nini hiyo!!!?
Nahisi kuna shule naweza jifunza hapa,coz hata mimi huku Tabora niliwahi kukabwa sana na mtoto wa kinyamwezi,pamoja na kusoma na kufanya kazi za sheria na vipesa vya hapa na pale si haba lakini havikunisaidia kabisa kuninasua katika janga!
Nilikuwa nusu zuzu kabisaaa!!!
Haaaa!!! bado wasubiri ushahidi?! Mameeee!!Asante, wengine acha ila kila shetani na mbuyu wake. Wala tusionane punguwani, ni jambo la muda tu coz kama nikuacha utaacha wangapi. Ni bora uwe na ushahidi wa kutosha then uamue.
Bora na wew umesema mkuu, matusi ninayoporomoshewa unatafikiri niko peke. Wapo wengine haongei ila cha moto wanakipataMkuu KO ni nini hiyo!!!?
Nahisi kuna shule naweza jifunza hapa,coz hata mimi huku Tabora niliwahi kukabwa sana na mtoto wa kinyamwezi,pamoja na kusoma na kufanya kazi za sheria na vipesa vya hapa na pale si haba lakini havikunisaidia kabisa kuninasua katika janga!
Nilikuwa nusu zuzu kabisaaa!!!
Nizaidi ya Uboya uboya ulimbuken,uzwazwa ,unless iwe nichai ila kama nimim siku hiyo hiyo ningemwambia "Pitilizia huko huko manina zako , ole wako nione Pua yako".Amesema ni msukuma sijui msukuma wa wapi? Huu ni ulimbukeni .. Mke anaenda kulala kwa kaka yake ambaye hata hamjui vizuri na anamkataza asiende naye mwanaume ametulia tu?!! Ni zaidi ya uboya.. Na kwa vyovyote huyo Aisha sio wake
Mkuu mbona unataka kufika mbali tena ukoAmesema ni msukuma sijui msukuma wa wapi? Huu ni ulimbukeni .. Mke anaenda kulala kwa kaka yake ambaye hata hamjui vizuri na anamkataza asiende naye mwanaume ametulia tu?!! Ni zaidi ya uboya.. Na kwa vyovyote huyo Aisha sio wake
Kasababisha niishie njiani kusoma story yake, idiot of allMume bwege a k a bushoke katika ubora wake... Endelea kushika pembe mkuu
Kwa umri wako ulitakiwa uwe umeshapitisha maamuzi mkuu .Good answer, the great
Hahaaaa. Kupenda huko best.Kasababisha niishie njiani kusoma story yake, idiot of all