Mke wangu mbona visa haviishi?

Kweli kabisa aisee. Ila usiseme ni jambo la muda huku hulitafutii ufumbuzi sababu mwisho wa siku unaweza mmoja kati ya Mabushoke waliowahi kutokea ndani ya hii dunia.
It won't take time nakuambia. It's too tiresome.
 
Pole sana Kaka yangu ningejua ni kichaga kumbe hata Kaka yangu chuma cha mjerumani au Pacha wangu MBIIRWA wangenisaidia kutafsiri. Hahaaaa.

Usijali Mkuu pole sana ndio mapenzi hayo kila mmoja ana ya namna yake.
Mapenzi ni matamu Sana ila ukiendekeza unaweza kuwa ndondocha wa binadamu mwenzako!huyo jamaa Hana tofauti na ile sanamu pale posta Ni mwanaume kwa jina tu!
 
Mwingine ameshapigwa KO tayari hahahahahaha
Mkuu KO ni nini hiyo!!!?
Nahisi kuna shule naweza jifunza hapa,coz hata mimi huku Tabora niliwahi kukabwa sana na mtoto wa kinyamwezi,pamoja na kusoma na kufanya kazi za sheria na vipesa vya hapa na pale si haba lakini havikunisaidia kabisa kuninasua katika janga!
Nilikuwa nusu zuzu kabisaaa!!!
 
Ujue mpaka jamaa amenipa hasira !!

Ivi mkuu, hawa wanaume wa aina hii ni waukanda gan???. Ivi kanda yetu pendwa , kuna Mwanamme wa kulalamika bila kuchukua hatua??.
Amesema ni msukuma sijui msukuma wa wapi? Huu ni ulimbukeni .. Mke anaenda kulala kwa kaka yake ambaye hata hamjui vizuri na anamkataza asiende naye mwanaume ametulia tu?!! Ni zaidi ya uboya.. Na kwa vyovyote huyo Aisha sio wake
 
Mkuu KO ni nini hiyo!!!?
Nahisi kuna shule naweza jifunza hapa,coz hata mimi huku Tabora niliwahi kukabwa sana na mtoto wa kinyamwezi,pamoja na kusoma na kufanya kazi za sheria na vipesa vya hapa na pale si haba lakini havikunisaidia kabisa kuninasua katika janga!
Nilikuwa nusu zuzu kabisaaa!!!
..KO=Kipapai Origino
 
Bora na wew umesema mkuu, matusi ninayoporomoshewa unatafikiri niko peke. Wapo wengine haongei ila cha moto wanakipata
 
Amesema ni msukuma sijui msukuma wa wapi? Huu ni ulimbukeni .. Mke anaenda kulala kwa kaka yake ambaye hata hamjui vizuri na anamkataza asiende naye mwanaume ametulia tu?!! Ni zaidi ya uboya.. Na kwa vyovyote huyo Aisha sio wake
Nizaidi ya Uboya uboya ulimbuken,uzwazwa ,unless iwe nichai ila kama nimim siku hiyo hiyo ningemwambia "Pitilizia huko huko manina zako , ole wako nione Pua yako".
 
Amesema ni msukuma sijui msukuma wa wapi? Huu ni ulimbukeni .. Mke anaenda kulala kwa kaka yake ambaye hata hamjui vizuri na anamkataza asiende naye mwanaume ametulia tu?!! Ni zaidi ya uboya.. Na kwa vyovyote huyo Aisha sio wake
Mkuu mbona unataka kufika mbali tena uko
 
Back
Top Bottom