Hahaaa. Ushamba tena kwenye kupenda Mkuu?Look kwa mambo hayo acha niambiwe sijui mapenzi ,mshamba majina yote huwezi nifanya msukule kwa kisingizio Cha mapenzi.ote naiyo
Uko tayari kuachiwa kitumbua ntaa?Vyovyote mtakavyosema ila mpaka nimefikia kuyaanisha hapa basi niko mbioni kufanya maamuzi.
..ndiyo wewe nn?Una uhakika yupo jf?
Ha ha kichagaa hicho huyu mwanaume mwenzetu kanichanganya kweli!Hahaaa. Ushamba tena kwenye kupenda Mkuu?
Hapo mwisho ndio umeandika ki Kongo au?
Asante kwa ushauriKunywa pombe kampe makavu kama unaona aibu ukiwa na akiri timamamu atakutia umaskini huyo harafu iweje unaruhusu mkeo kulala kwa nduguye hapahapa mjini itakuwa nawe una shida sio hivihivi tu jitathimini kwanza wewe mkuu
Kweli kabisa aisee. Ila usiseme ni jambo la muda huku hulitafutii ufumbuzi sababu mwisho wa siku unaweza mmoja kati ya Mabushoke waliowahi kutokea ndani ya hii dunia.Asante, wengine acha ila kila shetani na mbuyu wake. Wala tusionane punguwani, ni jambo la muda tu coz kama nikuacha utaacha wangapi. Ni bora uwe na ushahidi wa kutosha then uamue.
Umri upo upo mkuu, mpaka tuna mtoto, tumeenda enda kimtindo.kama stori ni ya kweli mkuu amini umeshachukuliwa nyota... upo ndani ya kichupa unatemewa mate tu...itabidi mkuu mshana ahusike kukunusuru....
umri wenu tafadhali, sijaimaliza story, too childish...
Haya sio mapenzi ,huo ni ubwege ,, unawezaje kumpa MTU mapenzi hayo na wala hastahili kuyapata,??Mapenzi baba mapenziii... Subiri nawewe yakukute...
Pole sana Kaka yangu ningejua ni kichaga kumbe hata Kaka yangu chuma cha mjerumani au Pacha wangu MBIIRWA wangenisaidia kutafsiri. Hahaaaa.Ha ha kichagaa hicho huyu mwanaume mwenzetu kanichanganya kweli!