Mke wangu mbona visa haviishi?

kama stori ni ya kweli mkuu amini umeshachukuliwa nyota... upo ndani ya kichupa unatemewa mate tu...itabidi mkuu mshana ahusike kukunusuru....

umri wenu tafadhali, sijaimaliza story, too childish...
 
Kunywa pombe kampe makavu kama unaona aibu ukiwa na akiri timamamu atakutia umaskini huyo harafu iweje unaruhusu mkeo kulala kwa nduguye hapahapa mjini itakuwa nawe una shida sio hivihivi tu jitathimini kwanza wewe mkuu
Asante kwa ushauri
 
Asante, wengine acha ila kila shetani na mbuyu wake. Wala tusionane punguwani, ni jambo la muda tu coz kama nikuacha utaacha wangapi. Ni bora uwe na ushahidi wa kutosha then uamue.
Kweli kabisa aisee. Ila usiseme ni jambo la muda huku hulitafutii ufumbuzi sababu mwisho wa siku unaweza mmoja kati ya Mabushoke waliowahi kutokea ndani ya hii dunia.
 
kama stori ni ya kweli mkuu amini umeshachukuliwa nyota... upo ndani ya kichupa unatemewa mate tu...itabidi mkuu mshana ahusike kukunusuru....

umri wenu tafadhali, sijaimaliza story, too childish...
Umri upo upo mkuu, mpaka tuna mtoto, tumeenda enda kimtindo.
 
Mapenzi baba mapenziii... Subiri nawewe yakukute...
Haya sio mapenzi ,huo ni ubwege ,, unawezaje kumpa MTU mapenzi hayo na wala hastahili kuyapata,??

Mapenzi yanmna hiyo kuna wanaostahili kupewa nasio kumpa MTU anayeishia kupunguza miaka yako yakuishi.

Kamwe haitotokea ,maana hata km nilimbwata ,kwetu tunasali halitushiki ng'oo.
 
Back
Top Bottom