Mke wangu karudi akiwa amevaa chupi ya kiume!

"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."

Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.

hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu GAZETI imenibidi nitoke nje ya darasa maana nimeshindwa kujizuia asee, hii karee ya mwaka 2012.., I bet itakuwa the best sredi of the Century kudadadeki.. hahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Chupi ya TMK wanaume afu ina tundu.. duuuuh! hii ni nouma hahahahaaaaaaaaaaaaaaa
I love JF with all my heart asee...!
 
Last edited by a moderator:
anajiuliza nini sasa wakati keshaliwa huyooo...., na wew tafta mnyonge uumegee.
 
huu mkasa ni wako wewe mwenyewe mzeee, umeliwa mke tena na masharobaro wa bongo fuleva au wavuta bange. mtimizie mkeo haki ya ndoa ili atulie home, aache kuparamia wavuta bange, wasukuma tolori na walisha ng'ombe. pole.

ungejaribu kushika ikulu tu uteeee uteee kibaaaaoooo
 
Msamehe tu, na Umshukuru Mungu Kukuonyesha Tabia anayotaka kuianza MkeoMwambie awe mwangalifu tu kuna MAGONJWA
 
huu mkasa ni wako wewe mwenyewe mzeee, umeliwa mke tena na masharobaro wa bongo fuleva au wavuta bange. mtimizie mkeo haki ya ndoa ili atulie home, aache kuparamia wavuta bange, wasukuma tolori na walisha ng'ombe. pole.
Thubutuuu!
 
Kweli wewe ni Gazeti tena la udaku.
Mzee hayo yanaitwa PENDWA kwa sababu yanaondoa Stress za wiki mzima
zinazosababishwa na magazeti ya SIASA, hata wale wa mjengoni pia wanayanunua
lakini wao wanaweka katikati ya magazeti ya Kiingereza ingawa kiingereza chenyewe
S'times kinapiga chenga.
 
Alipoondoka alivaa rangi gani? Amerudi nayo? Au ame exchange???
Kizuri mega na mwenzio.

E bwana we tulia ila ungepata video ya kilichotendeka ungelia na ......
 
Mwambie amrejeshee mwenye chupi naye ampe chupi yake uone atasemaje. Hakuna haja ya kumpandishia. Atapandisha mwenyewe na hatimaye ukweli utajitokeza toka kwake huyo huyo. Simple questions kama ilikuwaje huko ulikokwenda mlifanya nini uliimba nyimbo gani walihudhuria akina nani ulitoka saa ngapi ukapitia wapi na vitu kama hivyo vitamfanya akosee au ajichanganye na kutoa clue ya what has been going on.
 
Back
Top Bottom