bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 454
Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafuta”Aende tu hakuna namna kama huna uwezo wa kureplace anachoenda kupata huko
Basi mfungulie biashara na abaki hapo. Kama uwezo wa kumuhudumia upo kwanini aende mbali?Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafta”
Hiki kicheko kimekaa kimtego sana 😬Muache aende[emoji1]
Biashara watamla zaidi mkuu amini nakwambia...Basi mfungulie biashara na abaki hapo. Kama uwezo wa kumuhudumia upo kwann aende mbali?
😬😬 Wacha tuone, wazoefu wanasemaje?Mwache aende kama wa kuliwa ni wa kuliwa tuu hamna namna
Kwanza ndoa kama haijafikisha miaka 10, jadilianeni kwanza kuwa muwazi tu kwake and how you feel, kama hauafiki yeye kwenda then jadilianeni jinsi ya kufanya alternative livelihood Ili awe busy.Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafta”
Hamna wewe muache aendeHiki kicheko kimekaa kimtego sana [emoji51]
Aende naye au sioPole sana, watakupigia hadi achakae.
Boss, Malaya hachagui location, hakuna haja ya kuishi kwa hofu, kama umekosea kuoa rekebisha hakuna namna.Biashara watamla zaidi mkuu amini nakwambia...
Mimi bado sijaoa ila amini nachokwambia...mkuu..😀😀😀Boss, Malaya hachagui location, hakuna haja ya kuishi kwa hofu, kama umekosea kuoa rekebisha hakuna namna.
Meeen, I like this…Kwanza ndoa kama haijafikisha miaka 10, jadilianeni kwanza kuwa muwazi tu kwake and how you feel, kama hauafiki yeye kwenda then jadilianeni jinsi ya kufanya alternative livelihood Ili awe busy.
Muulize kuhusu ujasiriamali na kipi anapenda, and then mjadiliane mnafikaje kwenye hiyo objective.
Sasa hapo ndio act kama kichwa Cha familia Sasa, lead the way with confidence.
Vipi ameisha huyoDah!...