Mke wangu kapata bwana Instagram


Ha ha ha! Yaani eti nisipokuelewa badala ya kunielewesha unaniita Mpumbavu (nina IQ ndogo), mimi ni lofa!

Kweli hili ni janga.
 
atakua ni sandra au?maana ndo demu wangu mpya nimempatia insta
 
Haya masimu sio ya kuzoea kabisa yanafunga ubongo wako usiwaze kitu kingine
 
Ilianza facebook
mara bbm
mara watsap
sasa instagram

After few years tutakuwa tunaongea vipya vingine
 
sidhani kama una stahili kuwa na mke...
 
Inawezekana huna jipya kwake aliokutana nao huko wana swagg
 

nitajie account yake nim-follow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…