Anafanywa nini?Duh! Mkubwa,kipigo kwa mkeo ni mambo ya zamani.skuizi mwanamke hapigwi
Hiv kweli mtu haupo wiki nzima lkn unafika hata karibu hamna, kweli ilikuwa hasira mkuuSasa mkuu ulishindwa nini kumwambia, "mke wangu habari yako?za hapa nyumbani?". Hivi angezimia ghafla au kufariki kwa hilo kofi lako matata ingekuwaje?
Anapewa talaka aende kwao kumpumzika then unavuta chuma kingine.Anafanywa nini?
Haaaaaa mkuu talaka haraka hiviAnapewa talaka aende kwao kumpumzika then unavuta chuma kingine.
Vingi vinatokea ndani ya wiki, wanawake ni wa kukaa nao kwa akili mno, wanakuwa na moods tofauti hasa wanapopitia vipindi tofauti katika maisha yao.Hiv kweli mtu haupo wiki nzima lkn unafika hata karibu hamna, kweli ilikuwa hasira mkuu
Hilo laweza kuwa sahihi make wakati anafula hapo usiku ameniambia eti natoka kwa michepuko, jaman tusifanyekazi kisa, na je akikuona umekaa nyumban ndo afurah auVingi vinatokea ndani ya wiki, wanawake ni wa kukaa nao kwa akili mno, wanakuwa na moods tofauti hasa wanapopitia vipindi tofauti katika maisha yao.
Huwezi jua kuna kitu kilikuwa kinamsumbua kuhusu wewe, hivyo alikuwa na ki bifu kidogo...
Ha ha unaona sasa mkuu, wivu tuu unamsumbua, afu mtoto yake pipi...ungempa pipi yaishe siyo makofiHilo laweza kuwa sahihi make wakati anafula hapo usiku ameniambia eti natoka kwa michepuko, jaman tusifanyekazi kisa, na je akikuona umekaa nyumban ndo afurah au
sasa baada ya kofi ulimpa vitu vitamu usiku huo au na wewe ulinuna mkanuniana wote? ukawa usiku wa mbalamwezi macho juu kaa pimbi?Hilo laweza kuwa sahihi make wakati anafula hapo usiku ameniambia eti natoka kwa michepuko, jaman tusifanyekazi kisa, na je akikuona umekaa nyumban ndo afurah au
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safar ambayo nimekaa takriban wiki nzima,safar yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumban nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumban hakuweza kutoka ndan ya chumban, nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawililizima nilivyoenda chumban nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake, ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefula, haelweki, eti nimemkosea, jaman nimfanyeje ili arud kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lkn yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au haniitaji niwepo nyumban? Naomba mnishauri.