Mke wangu kanitenda, naomba ushauri

Ekzagtiliy. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tena ukiangalia hao wanaume wanaomshauri mwenzao amuache mke wake na wao wanakutana na changamoto kama hizo ila wanaishia kuzimaliza na maisha mengine yanaendelea.
Pacha hakuna washaur wabaya wa mahusiano kama kwenye mitandao
Sio wotee watakaokushaur uzur wengi wao wanasema hili lkn kwenye mahusiano yao wako vile anakwambia muache lkn kama ulivyosema yy anapiga got kusawazisha kwake ww unayabeba kama yalivyoo
 
Si umeona pacha eheeeee acha apambanie ndoa yake
Kabisaa Pacha na miaka kumi na tatu ya ndoa si kitu kidogo.

Asiyejua anaeza ona ni kitu kidogo lakini si kweli kwani kwa hiyo miaka waeza kuta kuna mambo kibao yamefanyika , yenye kusimama yamesimama na mipango mingine mikubwa mbele ilikuwepo sasa kuikatisha ghafula si jambo rahisi kama kunywa chai.
 
Pacha hakuna washaur wabaya wa mahusiano kama kwenye mitandao
Sahihi Pacha sababu kuna wengine wanachukulia ndoa ni jambo dogo kumbe sivyo
Sio wotee watakaokushaur uzur wengi wao wanasema hili lkn kwenye mahusiano yao wako vile anakwambia muache lkn kama ulivyosema yy anapiga got kusawazisha kwake ww unayabeba kama yalivyoo
Hakika na kama hapa kikubwa mleta uzi aangalie tu wapi furaha yake itapatikana.
 
Sahihi Pacha sababu kuna wengine wanachukulia ndoa ni jambo dogo kumbe sivyo
Hakika na kama hapa kikubwa mleta uzi aangalie tu wapi furaha yake itapatikana.
Gud hilo ndio la maana akisema afate yote ya hapa shaur zake
 
Wewe unaonekana mstahimilivu sanaa hao wa Dudu hawajifunzi kabisa wala usipoteze mda eti atajirekebisha kabisa zawadi nzuri tafuta mkaa gunia mbili tu .
Mdudu huzaa mdudu so mawe ni mdudu.
 
Kuna watu mnajua kuwaza uhalisia!

Na huu ndo ukweli

Case closed[emoji2772]
 
munisijo, ]"uamuzi wa kuoa is the biggest risk a human being can make".........Kaka marriage is like a suicide mission it's death or life project. Just hear it from people try it one day you will find out the logic behind why Christian priest dont marry........
 
Mkuu, piga chini huyu mwanamke hawezi kuacha hiyo tabia, we fikiria miaka 8 still bado anachepuka na huyo mtu wake,

Nenda Europe ukiwa umeshaachana nae usihesabu gharama.
 
Hatima ya maisha yako,yapo mikononi mwako na si mikononi mwa wazazi,ndugu au marafiki;fanya kile nafsi yako inavyokuelekeza kufanya.Kwa ushauri wa kiume,piga chini uanze moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah pole sana kwa kuitwa taahira na mke wako anacheka na kufuraaaahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…