Mke wangu kanitenda, naomba ushauri

Kwni huko aliko EDA hatafunwi na huyo Binamu yako? Kaka kama ulikubali kuoa ili hali unajua kuwa anadinywa na huyo ndugu yako sioni sababu ya unachokifanya kwa sasa wewe kubali tu muwe mnamdinya wawili. Ila na wewe utaowaje Demu wa ndugu yako kisa umetambulishwa? Ungemuachia huyo Ndugu yako sasa ona unachokivuna kwa sasa wao wanaendelea kudinyana wewe unaaendelea kushikilia mbupu.

Pole Mwanamke anatulia akitakaa yeye mwenyewe ,
 
Kama bado unampenda nenda naye Europe, usije ukaenda kuishi kwa shida bure uko Europe, kama unaamua kumuacha muache uende zako Europe, ukaishi stress free Europe, na ufanye maamuzi mapema kabla ujaanza safari ya Europe........ manengelo Europe mahondaw europe Sky Eclat
 
1.USIMUACHE
2.USIMUACHE
3.USIMUACHE.
4.Mtafute mgoni wako umalizane nae kibingwa.
 
Hauko Sahihi mkuu, huna uzoefu wa kuchapiwa. Mwanamke anayemkuna wakati huo ndiye anamuona dume la mbegu. Kwa vile huyu binamu ndiye anaikula K yake lazima atamthamini. Hata sie tuliitwa majina wakati mchepuko akiueleza kuwa ‘I will love you until the end of my life’ kwa sasa tukiwauliza wanabakia kulalamika kuwa hatusahau. Aangalie kama atakiri na kuomba msamaha ila lazima ahakikishe anamtatua binamu marinda yake mbele ya mke wake halafu atoe onyo la mwisho. Hii njia ilinisaidia sana
 
Ngoja tuwaache wenye uzoefu wao watoe ushauri...
 
wanao ua sio wakatili kama tunavyofikiri kuna vitu huwa vinawapelekea wachukue maamuzi magumu
 
Wewe ni Mwanaume au mvulana? Ukijibu nitakushauri nini cha kufanya.
 
umetoa talaka 2"mara mke kwa mamamkwe.mara unaweza kurudiana

ok kwann ulimuacha.kwa akili hizi utaishi vip ulayaaa.
 
Huyu jamaa inawezekana mama yake anafahamu kinachoendelea na amekipa baraka na inawezekana hao watoto wote si wake ni wa huyo ndugu yake inawezekana jamaa hawezi tia mimba ndio mama yake akajiongeza. Maana haiingii akilini kabisa utoe talaka kwa sababu ya uzinzi mama yako amchukue wife akakae nae!!??
 
Wewe unaonekana mstahimilivu sanaa hao wa Dudu hawajifunzi kabisa wala usipoteze mda eti atajirekebisha kabisa zawadi nzuri tafuta mkaa gunia mbili tu .
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Chagua moja kati ya yafuatayo.Kuachana naye kimoja ili uweze kuongeza siku zako za kuishi hapa duniani ulee watoto wako na wazazi wako AU uendelee kuishi naye upunguze kabusa siku zako za kuishi hapa duniani.Uchaguzi unao mwenyewe bro.

Ndiyo maana huyo jamaa anakuitaga wewe Tahira sababu anakujua wewe vizuri na ni ndugu yako wa karibu kabisa pia.

Wanawake waaminifu amebaki mama yangu tuu.
 
Ubaya wa wanawake wanaochepuka tena na ndugu ,huwa ni ngumu sana kuacha izo tabia ,yani anajua ww ni mstahimilivu kwa hiyo utamrudia tu

Na pia anajua mama ake mkwe anampenda sn, kwa hiyo utamrudia tu, na usikute anakucheka kipembeni na huyo mtu wake kuwa huyu ni tahaira ,amelowea apa hafurukuti atarud Tuy

Na cha tatu umempa talaka 2, inamuongezea matumaini kuwa utarudi tuu, yupo kwa mama mkwe, ww utarudi tuu..

Nakushauri ongeza talaka ya 3, mn huyo si mke mwema, anachepuka tena na ndg yako afu unmp tlk 2 tu? , mpe ya 3 ili akajifunze uko kwao, au lah akaolewe na huyo ndugu

Huyo ataacha kuchepuka na huyo ndugu yako nakwambia.
 
Hujatendwa wewe na hata kama bado hujanifunza!
Ukiona familia flani ipo imara au inaheshimika
Tambua baba anauhusika 100%
Vodacom Kazi ni kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…