UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 450
Hamna mtu anayemjua mkuu, alitokea singida toka jumapili yupo Dodoma kikazi. Hata kama ni kumjua,hadi jina ataje??Tumia akili tu kufikiri, huyo katonywa mchezo mzima. Kuna mtu wenu wa karibu alishajua unachepuka hima umemwambia, au umbea wake. Kaogopa kukwambia direct kisa utachukia
Yap nimemruka futi 100Kazaa mwambie Big NO
Wewe ndiye uliota ukaongea yoteTuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.
Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba.
Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti.
Kaanza kumuelezea hadi jina ili hali hawajuuani.
Kaelezea hadi alivyokuwa amesukwa . Je,huyu mke wangu ni mchawi?
Duuuuh wataalamu wa ndoto njooni tafadhali.
Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma.

Uko sahihi ,wako wa hivyo,yale mapepo yanatoa alert flani au kumuotesha kila kitu au kama yuko karibu na Mungu kiroho yaweza kuwa ni roho wa Mungu ameamua kukuumbua...Atakua ana mashetani huyo.prove me wrong...