Mke wangu kanifokea sana

Hapa ungekuja na hoja ya kumtoa manundu wife wako tungeanzia hapo kwa uzuri.ila kutukanwa afu unakuja kuomba ushauli,binafsi nakuhulumia ila ngoja nikutazame tu.
 
Me wangu huwa analalamika siku akinofekea atajuta. Mkanye huyo mkeo mara moja.
Me kwanza nafikiria nitaanzaje kutoa dukuduku,mara nyingi nalimalizia kitandani usiku.....nkiwaza tu kumpandishia sauti mume wangu hata kwa bahati mbaya nahisi ka nimemdharau which is not good,na mwanaume akiona kadharaurika atatafuta pa kuheshimika siku moja
 
Bila shaka ndoa yenu ipo imara na itadumu kama mlivyoapa wakati wa kuoana, bigup sana
 
Mwanaume hafokewi angeongea na ww kwa upole tena mkiwa uchi kitandani,siku nyingine ukiona taulo chafu chukua kitenge chake ogea ukiwa unamsubiria arudi atimize majukumu yake!
 
Wakati ananza tu kufoka ungemtia makofi japo matatu faster then ndio muongee huku akiwa analia, lazima angetoa la moyoni kwa hali ya unyenyekevu kabisa
 
huo ni mwanzo tu, na umekaa kimya unapoelekea utaanza kupigwa kabisa na mkeo, Ila usisahau kuja katuambia kuwa umeanza kupigwa'usimuendekeze ajue mpaka wake
 
dah mkuu ulishindwa kufua mwenyewe taulo ti...mkeo yuko sahihi kabisa
 
Wasukuma bhana! Ndio maana ukifupisha tu hili jina unatukana! Ndio maana wanaulizwa maswali wanasema "Ulitaka niseme Nakupenda"
 
Ungetumia hata vitenge vyake!
 
..Unabusara sana wewe mdada,..Hakika mumeo kapata...
 
si kosa mkuu labda alihisi umepiga ndiyo maana ukampa afue
 
Wenzio walikuwa wanapigwa na stuli, we unashangaa kufokewa? Acha first lady wa wasukuma afanye yake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…