Mke wangu kanifokea sana

Pole, kukugombeza haikuwa sahihi. Ila wewe kwa nini lakinii umpe dada wa kazi taulo lako afue? Taulo bhana halina tofauti na boxer yako unafutia mwili woote kila mahala jamani, kama ni mkeo anafua basi muwekee arudi afue tumia taulo ingine
 
Wakikusikia wasukuma wenyewe utawabeba [emoji23]

Ushauri: Binafsi nina sana Avoid direct communication na house girl na pia huwa simpi chochote directly ni lazima kipitie kwa mama mwenye nyumba na kuhusu nguo hata kama mwenzangu kasafiri basi ntazifua mwenyewe...hii inasaidia kupunguza misunderstandings na mwenzio so jaribu kufanya hivo brother it might help
 
# I meant Nina avoid sana direct communication#
 
Pole Sana lakini naamini nguo nyingne pia zilkuwa chafu ila hukumpa ukaona umpe taulo tu kwanini?Ungeacha tu wife akija afue zote ungechukua taulo lingine anakupenda naamini pia hajafoka ileee amekuambia tu kuwa hajapenda
 
Aisee ww... mwanamke anakufokea na ww unakaa kimya . Aisee.. wewe ndue mwanaume ndani ya nyumba ... mwanamke hatakiwi kuwa na sauti juu yako. Man up nigga... be a man..
Just ongea na mke wako taratibu. Maan wewebhuna kosa... lolote. Lakin kama atendelea kukubwatukia.. then mikanda na makofi vitahitajika.. maana hiyo itakuwa ni dharau na anataka kukupanda kichwani.
 
bora wewe unafokewa na wife.wengine huku tunafokewa na galfriends.mapenzi yana nguvu sana mkuu wala usijione bwege..subiri mkeo hasira zikiisha mueleweshe vizuri
 

Ukome, bora ungenunua taulo jingine, au Kuna kitu alifutia chakutia kinyaa?
 
Wewe ni msukuma wa wapi mkuu
Mbona wasukuma hawapo hivyo
Mm msukuma mstaarabu sio kila kitu lazima urushe ngumi mkuu. najarbu kupima kosa langu lilipo kufuliwa taulo tu. Je ningemgegeda nadhani angejinyonga kbsa

## Wanawake wenye wivu wanachunguza sana zaidi ya FBI
 
Mkuu asante kwa ushauri
 
Hahaa haha

[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu nawewe umeanza kuiga tabia za wanaume wa....

Maana nyie Wasukuma huwa hamfokewi bhana,na kuna uzi humu uliwahi kukanusha hii tuhuma sasa niwewe kweli kimekutokea??

MyTake:Nihisi hichi kitendo kafanyiwa jirani yako sio wewe[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kujifutia taulo inahitaji uwe na kumbukumbu la sivyo...ni hatari kwa afya yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…