Rais wa Wasukuma
Member
- Nov 3, 2016
- 55
- 53
Swala hapa si osigelo kukufulia taulo...Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.
Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife alinifokea sana kumpa bek tatu kufua taulo langu.
Wana jf nipeni maoni yenu je nilifanya kosa kumpa beki tatu kufua taulo langu?
kwa hyo ukajiunga JF kwa sababu una shida,au ni lD mpya?huna washauri hadi upate shida unakuja huku?nakuomba tumia lD yako ya zamani tukushauri,mbona mi napigwa kabisa na sijali na sibadilishi lD?Taulo ulilitumia kwa mda gani hadi lifuliwe?na iweje mkeo arudi asubuhi wakati beki 3 anafua?au huwa mnafua jioni?Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.
Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife alinifokea sana kumpa bek tatu kufua taulo langu.
Wana jf nipeni maoni yenu je nilifanya kosa kumpa beki tatu kufua taulo langu?
Mkuu wife alisafir nikaona nimpe bek tatu asaidieMkeo kakufokea kisa Umempa hosigelo taulo. Kwanini umpe wakati mkeo ndiye anaefua nguo zako?
mkuu naomba kwanza ushauri kabla sijafanya maamuz magumNa wewe unafokewa unamuangalia tu ukiwaza akimalza naenda kumsemea jamii forums
Kwa maoni yangu nadhani si kosa bek tatu kufua taulo languWhat do you think??
Anaogopa kukuweka karibu na beki 3 mkuu. Nao binadamu eti wanakasirikaMkuu wife alisafir nikaona nimpe bek tatu asaidie
OK .. hamna tatizo basi.Kwa maoni yangu nadhani si kosa bek tatu kufua taulo langu
Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.
Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife alinifokea sana kumpa bek tatu kufua taulo langu.
Wana jf nipeni maoni yenu je nilifanya kosa kumpa beki tatu kufua taulo langu?
Naww malizia hasira zako kwa beki3,ashakutengenezea mazingira.Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf.