Mke wangu kaliwa uroda

Pole sana.
Na vijana wa sasa wanavyooenda kuzibua mitaro nasikia harufu ya kinyesi hapa sasa sina uhakika kama rinda bado zipo.
Cc amba ruttty.
 
Mmh hii chai hii. Ina maana huyo Boss wa benk alimpata siku hiyo hiyo na kumpa laki 8 siku hiyo hiyo na kumla uroda siku hiyo hiyo na hela ikalipwa hospital siku hiyo hiyo tena ndani ya masaa machache. Usitufanye watoto tafadhali!
 
Hapa pagumu, unalipwaje laki nane kwa gesti ya manzese? Hahahahah huyo aelezee vizuri asee
 
kwa uandishi huu kweli wewe dereva wa bodaboda. hakuna hata nukta.
 
Nakupendaga unavyoimbaga nyimbo za zaman kumbe na hizi waziweza?
 
Enyi wanaume wapendeni wake zenu na kaani nao kw akili!!

kuna siri kubwa ipo hapa kwenye haya maneno!!


Waelekeze hiyo siri wanaume waache kulia lia huku mitandaoni. Wapambane na wanawake zao sio kutishana kuwa wanawake ni shida huku hawawezi kuishi bila mwanamke.

K' Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…