Mke wangu kaliwa uroda

Kama ni wa matombo mkuu..uliza vizuri, wajomba ndio hufungua blister, mke akifanya ungese utasikia mjomba ndio kila kitu, yaani ukiona wajomba wanajisogeza katika hiyo kesi yako, ujue yupo mmoja kala
Hii sijawahi isikia ha ha ha!
 
Kama una busara msamehe ndg kwa sababu unaweza muacha halaf kesho ukaoa mwingine ambaye atakuja kuwa malaya zaid ya huyo! Ataliwa bure bora huyo ni kwa kuokoa maisha ya mama! Halaf jiulize je wewe haujawah kumsaliti? Kama ulishawah basi samehe! Huyo mwanamke ukimsamehe nakuapia atakupenda na kukuheshim milele ndg yangu! Tafadhali sana usimuache
 
..chai nyingine bwana " Mkeo aliwe ujue halafu upate confidence za kumpakia mpaka kwenye boda boda na kuendesha chombo cha Moto thubutuuuu " Huyo atakuwa sio mkeo itakuwa umemkodisha mkuu "..

by the way kama ulipata ujasiri wakumpakia kwenye boda boda na kuiendesha pasipo kupata madhara" Basi unaweza hata kuishi nae ijapo kuwa amekusaliti " mrejeshe tu nyumbani muendelee na Maisha
 
Hapaswi kusamehewa. Kama ni hizo fadhila tafuta njia ya kumlipa. Utajuaje kama ametoka na magonjwa huko.

Msaliti hasamehiwi, piga chini maisha yaendelee
 
Pumbavu zako unataka kumuacha wakati alikuwa anamsaidia mama yako, ukimuacha nunua ile midoli inayouzwaga unalifungia ndani linakuwa la peke yako, siku nyingine ukileta hadithi za abunwasi ,alfu lelaa hulelaa, esopooo, ngoswe penzi kitovu cha uzembe, mfalme juha, tuna..........., dada zako woteee tunaaa........, na ripoti uipeleke ukweni umemuacha mkeo kwasababu alikusaliti ili ipatikane laki nane kwaajili ya kutibiwa mama yako. Ila siku nyingine ukidanganya punguza uongo hakuna wa kuhonga lakinane sasa hivi wa kupiga show game moja kisha imetoka labla kama hiyo papuchi ina Bluetooth, wifi, memory card na AC
 
Jiulize pia katika maisha yako yote na wewe umeshawahi KUMSALITI AU BADO??
kama umeshawahi basi juwa ni mapungufu ya kila mtu msahau maisha yaendelee na kama ni kweli isue cyo ya kutunga basi samehe .
 

 
Msamehe mkuu, ikimsamehe wewe hatakuwa na hatia mbele za Mungu.
 
Kwanza alikua Na mahusiano nae kabla au??? Maana mama yako kaumwa yeye kachangia hyo hela. ... Inamana alikua nae kwenye mahusiano tangu mda2ila ndo akaamua kutumia njia hiyo kumsaidia mama ako
 
Ukifanya urafiki na chui wakati unafuga
mbuzi uwe na uhakika siku moja
utalia machozi.
Ningekuwa mimi huyo mke wangu ningemsamehe.
 
Kaka wewe hujawahi kuwamega wateja wako
wanaokuwa na shida ya nauli?
jijibu mwenyewe,ukikuta jibu ni ndio
basi maumivu uliyoyahisi moyoni
ndo hayo hayo waume zao huyahisi.
jikaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…