Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Habari,
kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa.

Kwa upande wangu,nmeoa mwanamke mzuri i mean kwenye kila sekta tabia sura na hata matendo na tupo kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa lakini hatukuwahi kugombana wala kufanyiana mambo ya ajabu.

Kutokana na thread nyingi zilizokuwa zinakuja humu JF jana nikaamua kufanya yafuatayo.

Kwenye saa 7 mchana nikampigia simu mke wangu kuwa leo asipike ftari badala yake tutaenda kula ftari hotelini alifurahi sababu huwa namfanyia mara nyingi out za kula.

Kwenye saa 11 nikampitia na kumpeleka sehemu tukapata ftari then kuna sehemu tukapitia mpaka mida ya saa 6 usiku tukiwa njiani kurudi akiwa na furaha kama kawaida yake.

Nikapita na gari mpaka Sinza X ni mitaa ambayo huwa mida hiyo kuna malaya wa kila aina tena mpaka wa elf 10, nikapaki gari kati kati yao then nikafungua vioo vyote,walivyoona gari wakaizunguka na kuanza kutaja offer yao tena mbele ya wife.

Mke wangu akabakia tu kustaajabu,mie nkaondoa gari mpaka Shekilango nikapaki gari then nikamwambia kuwa wale unaowaona pale kuna wengine ni wazuri tena kushinda wewe lakini biashara wanayoifanya mwanaume anaweza kuwa na elf 20 akamlala na hata mimi kwa kipato changu naweza kubadilisha kila siku ndani ya mwaka mzima lakini nimewaaacha wote na kuja kukuoa wewe na kukuweka ndani kama mke wangu.

Aliniangalia tu huku akitabasamu na kunikumbatia na kunambia nakupenda mme wangu na mengine yakaendelea.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuwakumbusha wanaume au wanawake ambao wapo ndani ya ndoa kujitahidi kuonyesha kwa waume au wake zao thamani waliyonayo kwao mpaka wakachukua jukumu zito la kuacha wote na kuja kukubali kuishi nawe milele ukimuwin kwa hilo mwenzio hakika ndoa utaiona tamu

Ramadhani Kareem
Hongera, ngoja naye ata kufanyia suprise akipata wanako JIUZA WANAUME
 
Swaumu mjini ni mtihani sana, nimetulia kituoni huku kimvua kikinyunyuza nasubiri daladala, mara kashuka demu wa kiwango cha SGR akanisogelea akanisabahi nikamwitikia, akaniuliza " eti samahani kaka flamingo lodge ipo wapi" kiunyonge nikamwoneshea kwa kidole...

Habari,
kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa.

Kwa upande wangu,nmeoa mwanamke mzuri i mean kwenye kila sekta tabia sura na hata matendo na tupo kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa lakini hatukuwahi kugombana wala kufanyiana mambo ya ajabu.

Kutokana na thread nyingi zilizokuwa zinakuja humu JF jana nikaamua kufanya yafuatayo.

Kwenye saa 7 mchana nikampigia simu mke wangu kuwa leo asipike ftari badala yake tutaenda kula ftari hotelini alifurahi sababu huwa namfanyia mara nyingi out za kula.

Kwenye saa 11 nikampitia na kumpeleka sehemu tukapata ftari then kuna sehemu tukapitia mpaka mida ya saa 6 usiku tukiwa njiani kurudi akiwa na furaha kama kawaida yake.

Nikapita na gari mpaka Sinza X ni mitaa ambayo huwa mida hiyo kuna malaya wa kila aina tena mpaka wa elf 10, nikapaki gari kati kati yao then nikafungua vioo vyote,walivyoona gari wakaizunguka na kuanza kutaja offer yao tena mbele ya wife.

Mke wangu akabakia tu kustaajabu,mie nkaondoa gari mpaka Shekilango nikapaki gari then nikamwambia kuwa wale unaowaona pale kuna wengine ni wazuri tena kushinda wewe lakini biashara wanayoifanya mwanaume anaweza kuwa na elf 20 akamlala na hata mimi kwa kipato changu naweza kubadilisha kila siku ndani ya mwaka mzima lakini nimewaaacha wote na kuja kukuoa wewe na kukuweka ndani kama mke wangu.

Aliniangalia tu huku akitabasamu na kunikumbatia na kunambia nakupenda mme wangu na mengine yakaendelea.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuwakumbusha wanaume au wanawake ambao wapo ndani ya ndoa kujitahidi kuonyesha kwa waume au wake zao thamani waliyonayo kwao mpaka wakachukua jukumu zito la kuacha wote na kuja kukubali kuishi nawe milele ukimuwin kwa hilo mwenzio hakika ndoa utaiona tamu

Ramadhani Kareem
Wewe ni mnyanyasaji. Kumbe ulimtoa out mtoto wa watu ili ukamnyanyase kuwa umemuoa 'hivyo hivyo' japo sio mzuri?
 
Hapa umefanya tukio la kijana anayebalehe kutishia demu wa form 2 kuwa nina mademu wengi wananitaka. Rekebisha kabla hajaishtukia balehe yako.
 
wewe ni pumbafu sana......mwanamke hafananishwi wala kulinganishwa na chochote....kahaba ni kahaba tuu.....mpende mkeo mheshimu mkeo....mengine Mola atakuongezea......
 
Najaribu kuwaza iwapo na yeye aamue Kwa namna yeyote kukuonesha msururu Wa wanaume wanaomtongoza kila siku. Utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom