ibraton
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 353
- 186
😀😉😀Mwambie wewe ni shoga...yani umeanza kupenda wanaume wenzio
Trust mi,atakuacha mara moja
😀😉😀Mwambie wewe ni shoga...yani umeanza kupenda wanaume wenzio
Trust mi,atakuacha mara moja
Una akili finyu kama benki iliyokaukiwa mtaji!Mwambie wewe ni shoga...yani umeanza kupenda wanaume wenzio
Trust mi,atakuacha mara moja
Jibu sahihi.Tatizo si mkeo, tatizo ni kuendekeza michepuko ukidhan unarahisisha ulichokosa ndan (mtt) kumbe unajiongezea matatizo
Mke mke mke. Hivi huoni usaliti wa mleta mada?Mi natabiri kuvunjika kwa ndoa yenu, hata kama wewe utakuwa umeamua muishi tu!
ndoa yenu ina matatizo yanayovunja 90% ya ndoa
1. kutokuwa na uelewano ktk fedha
2. Mke kutopata uzazi
3. mke kudhamini kwao kuliko kwake (popo)
???Mwambie wewe ni shoga...yani umeanza kupenda wanaume wenzio
Trust mi,atakuacha mara moja
Jifunze kuendesha familia kama mkuu au kichwa cha familia kwa kutoa maelekezo ya mwelekeo wa familia, maamuzi magumu kama Rais wetu alivyo ktk mambo ya msingi. Mtoto umleavyo....Mkuu hyo ndio ndoa,usikate tamaa mwanamke ni mwanafunzi kwetu japo mama zetu ni walimu kwetu.Tambua kwamba unakipimo unahtaji kukivuka hapo usiogope sana.majaribu madogo tu ila japo wanasema "HERI UCHUMBA ULIOVUNJIKA KULIKO NDOA ISIYOKUWA NA UPENDO,FURAHA,NA AMANI" Akil kuchwani kwako. HAKUNA MSHAURI MZURI ZAIDI YA MOYO WAKO NA NAFSI YAKO"