Mke wangu hataki wageni

tunapendana sana ila mkee wa jamaa hajiamini tena ni mchoyo anazani mjamzito atamaliza chakula. Tena baada ya kujifungu atamlisha ugari na makande mpaka akome so wajiongeze.

Hapo sio uchoyo ndugu. Kukaa na mjamzito/ mzazi ambaye hakuhusu ni ngumu sana. Huyo mke yupo sawa kukataa. Na pia inatia shaka unaweza letewa mke mwenzi a.k.a hawara wa mumeo umuhudumie. Wanaume wengine makatili sana. Namuungakono mke wa jamaa kukataa kulea mjamzito
 
Ntubuka umempa ushauri mzuri sana jamaa.kukaa na mjamzito c shughuli rahisi na sio km jamaa eti anaendeshwa na mkewe mi nakataa ila alichokosea jamaa alimjibu fasta jamaa ake bila kumshirikisha mke wake kwanza.sawa mwanaume ni kichwa cha family ila kukaa na mjamzito sio kitu rahisi.
 
Asprin unakosea.yaani wakwe wapo na ndo jukumu lao sihuyo mama.huyo rafiki aje nae hajielewi
 

Mwaga hayo majukumu ya kutisha, wengine tunataka kujifunza hayo?
 

Duh pole mkuu
 
Msikilize mkeo...
 
Ile shughuli ya kulea mzazi inatakiwa atakayemlea na kuwahudumia ndiyo akubali maana inataka moyo.
 
Wanawake wanapenda tabia ya kupend ndugu zake na ndo maana utakuta nyumba nyingi zina ndugu wa mke.Nashangaa kama utakuwa hulijui hili
 
wee ulichofurahia harakaharaka mke WA rfk yako aje ajifungulie kwako nn? Una namna Na mke WA rfk yako.
 
we mkeo ana mimba afu unamletea wageni je ni mda gani atapumzika, we waambie hao wageni kuwa mmepata dhalula ya ghafla mnasafiri mnaenda ukweni kwa mkeo na hamjui itachukua nda gani hivyo msije.
 
Hata mi nisingekubali,akianza kuugua nani aanze kuhangaika?akiumwa uchungu kumpeleka hospital,kupeleka chakula hospital,akijifungua kumpikia Mara kumfulia khaaa,aende kwa wakwe zake au ndugu zake,siku hizi watu tupo busy,mkeo yupo sahihi
au kama anakuja aje na msichana wa kazi kabisa wa kukesha nae hospitali
 

ndio maana mke kakataa kwani anajua hizi pilika pilika Ni shida,yeye mme atakua hafanyi hizo kazi,mke ndio itakua shughuli,kwa kweli hata mi siwezi kufua dam ya mtu au nguo alizotoka kujifungulia afue mwenyewe ,na alijiendekeza nguo hizo angeweza kufua mwenyewe Kwan mikono ilikua inamuuma?
 
Jiandae kumkanda maji akishajifungua.... na kumsaidia mzazi...kumpikia na kumfulia

au aende na mtu WA kumsaidia kabisa sio mke ageuke housegirl,nishaona watu wanakuja kujifungua kwa watu akifika kila kitu apewe Hana pesa ya matumizi,hata ya usafiri kwenda hospital Hana ,mke huyo kachomoa Ana akili kama zangu
 
Ukifanya maamuzi magumu kujifanya ulazimishe waje, yatayokuja kutokea ucje kuomba ushaur hapa tn. Wanawake wacpopenda jambo na kutaka kulilazimisha atakufanyia kituko uchoke ww hadi utajuta kilichokufanya kutumia mabavu n nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…