Habari zenu wana Jf,
Wenzangu,
Kuna jambo lina nisumbua mwenzenu, mke wangu ana uja uzito wa miezi mitano, kila mda anataka kusex nikishinda nyumbani hiyo ndo kazi.
Kazini siendi nikitaka kuondoka analia afu anasema tuondoke wote bila hivo nyumbani hakuna amani kabisa yaani hapakaliki, hapa nilipo pesa zote nimekula sina kitu ila yeye hilo halitambui.
Naombeni ushauri wenu wakuu nifanyeje? Maana mke wangu nampenda sana sipendi nione akilia naumia sana.