Allan Rwego
Member
- Jul 25, 2021
- 20
- 115
ππππHabari wakuu wa kaya..igweee
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke
Ni aibu nilichofanya ila sihitaji mwanamke yeyote. Mke wangu nimeanza nae mbali sana tokea hatuna kitu. Siwezi kuruhusu tu mtu mpya kirahisi ana stahili kufurahia matunda ya nyumba sababu alikuwepo kipindi cha ku struggleUmemkosea nini?
Achana nae mbona wanawake ni wengine tu, piga chini (walisikika wakulungwa wa jf wakiongea)
Huu ni mwezi wa pili tayari hana dalili kabisa ya kurudi tena ninamjua vizuri. Nani anampa sexual needs zake miezi miwili hii?Vuta subira tu mzee.. Hata yeye huko aliko, ndani ya miezi mitatu atakuwa ameteseka na kutokuwepo kwako---Sema atajidai dai kukaza, we utampotezea kidogo----Then atajileta.
As long as una watoto, hakuna la kuogopa. Labda kama yeye ndo main provider wa ndani ya nyumba yako, ikiwa hivi i can not guarrantee cz psycholojia ya hawa dada zangu wanaijua wenyewe wakiyapatia maisha.
Braza kama huwezi kushauri kaa kimya. Anyanduliwe na nani, haiwezekaniWe kunywa bia..huyo mkeo mpotezee, keshapata bwana mpya anayemnyandua vizuri.
Funguka tuu kuwa umemgegeda beki 3 mkuuNi aibu nilichofanya ila sihitaji mwanamke yeyote. Mke wangu nimeanza nae mbali sana tokea hatuna kitu. Siwezi kuruhusu tu mtu mpya kirahisi ana stahili kufurahia matunda ya nyumba sababu alikuwepo kipindi cha ku struggle
Haiwezekani vipi ? kwani wewe ndiye mwenye mb oo peke yako?Braza kama huwezi kushauri kaa kimya. Anyanduliwe na nani,haiwezekani
Ha ha ha. Mbona kama umepaniki kiongozi, nilikuwa natania tuYaani kila ID JamiiForums ni yangu basi fanyeni tu hivi ID's zote hapa ni za Kwangu kwahiyo mnasemaje?
ππππππYaani kila ID JamiiForums ni yangu basi fanyeni tu hivi ID's zote hapa ni za Kwangu kwahiyo mnasemaje?
Unatumia fake id umeificha, umetafuta fake yake tena bado unashindwa kufunguka!!! Utakuwa umefanya makubwa sana.....umemgegeda nani yake waifu????Ni aibu nilichofanya ila sihitaji mwanamke yeyote. Mke wangu nimeanza nae mbali sana tokea hatuna kitu. Siwezi kuruhusu tu mtu mpya kirahisi ana stahili kufurahia matunda ya nyumba sababu alikuwepo kipindi cha ku struggle