Mke wangu hapati mimba...

Mke wangu hapati mimba...

Kwanza kabisa kudanganya wakwe si kitu kizuri. Kwa nini unadanganya wakati mke wako mwenyewe?

Pili, mimba si kitu cha mara moja, unaweza kukaa mwaka mnatafuta mimba, kwa nini unafanya papara?

Tatu, kwa nini hutafuti ushauri wa wataalam?
Kwanza maisha yalikuwa mabaya kwangu nika mchoma sindano Mke wangu ili asi pate mimba lakini nili mpa sili shemeji yangu kwamba tuna tumia uzazi Wa mpango sasa yule shemeji akamwambia baba mkwe. Baba mkwe aka kasirika. Ikabidi ni mdanfanye tu mambo yaende sawa

Pili nilijuwa mimba fasta tu maana kuna rafiki yangu aligusa mwanafunzi siku moja tu mimba ikaingia paka Leo yupo jela

Tatu nitaenda mkuu naona mambo si mambo.
 
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
bado mapema sana mkuu...au fanya muende hospital mkaonane na wataalamu.
 
Kwaiyo nifanyeje mkuu.
Kapime hospitalini kama imeungua jumla au Baada ya muda ,Hakuna vitu vibaya ktk maisha kwa cku hizi kama uzazi wa mpango kupitia Vituo vya Maria stop /Hirizi za kizungu
 
anayetaka mtoto ni wewe au huyo baba mkwe? inavyo-onekana wewe huna shida na mtoto ndiyo maana uli-mdunga sindano mkeo mapema na kumuhalibia kizazi chacke kabisa.
 
Kama umetumia dawa namaanisha sindano lazma mwanamke achelewe kubeba mimba,unashauriwa kutumia uzazi wa mpango kwa mtu mwenye mtoto tuu,kupata mtoto utapata ila utachelewa nadhani mwaka unaeza ukaisha kwa sababu nna rafiki yangu nae alisha taabika mpaka mwaka ukaisha,kwaiyo miezi sita bado mapema ila vizuri nendeni hospital kwa ushauri na uchunguzi zaidi
 
Miezi hapo 2 miwili tu,maana miezi 3 ya mwanzo mlikuwa kwa family planning,ujue miezi 2 hata mwili haujarudi kwa hali yake,jomba embu kuwa siriaz na uwaze kidogo
 
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Pole mkuu, jaribuni kupunguza msongo wa mawazo ikiwezekana ombeni likizo mwende vacay kama week hivi mambo yatajipa,

Ikishindikana nendeni hospital

cc: yna4
 
Kama umetumia dawa namaanisha sindano lazma mwanamke achelewe kubeba mimba,unashauriwa kutumia uzazi wa mpango kwa mtu mwenye mtoto tuu,kupata mtoto utapata ila utachelewa nadhani mwaka unaeza ukaisha kwa sababu nna rafiki yangu nae alisha taabika mpaka mwaka ukaisha,kwaiyo miezi sita bado mapema ila vizuri nendeni hospital kwa ushauri na uchunguzi zaidi
Ahsante. Kuna mtu kaniambia pm anayo Dawa ya kuua sumu ya sindano je kweli ipo.
 
anayetaka mtoto ni wewe au huyo baba mkwe? inavyo-onekana wewe huna shida na mtoto ndiyo maana uli-mdunga sindano mkeo mapema na kumuhalibia kizazi chacke kabisa.
Na Mimi nataka mtoto kwa sasa.
 
Jameni hivi kwanini mnapenda kujaribu imani ya mungu? Haya mambo huwa tunazungumza kila siku hapa ila mnasoma kama hadithi,hayo masuala ya wazungu ya uzazi wa mpango nani alowadanganya mpaka mnajitia masindano ya sumu? We kama unataka huo uzazi wa mpango kuna mawili,msubiriane au tumieni condom.

Ova
 
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Hyo depo provera n msala watu wanakaa hadi miaka mitano hawashiki mimba kisa hayo madawa ya uzazi.Japo mm n mtu wa afya ila hizi dawa na njia za kisasa n msala naziona.Nenda hosp tena kuna dawa utapewa alafu zidisha mechi za kwenye siku za hatar.
Pole kwa hofu but atakuwa poa tu shem.
 
Nikisha kuwa na demu akiniambia upuuzi wa mpango wa uzazi, napiga chini fasta, hayo masindano ndiyo yanayo kuja kuwapa watoto wa ajabu wapenda singeli
😀 😀 😀 😀 😀 😀 mkuu una maanisha kina sholo mwamba na msaga sumu
 
Back
Top Bottom