Mke wangu hapati mimba...

Mke wangu hapati mimba...

Kwa nini?.
Yaani umeoa mke ukamdunga misindano ya majira

Miezi 6 tu tyr unalalamika

Cha ajabu ni kama vile ww halikusumbui isipokuwa wakwe(seriously)!

Kutia mimba inataka bidiihaswaaaaa, sio umezoea kushindia tujichips daily nguvu za kutafuta kwa torch - sahau
 
Kwa sasa naitaji mtoto mkuu. Niliogopa kwa sababu nilifukuzwa kazi ila sasa hivi mambo mazuri.
 
Hapana mizimu yangu ita nilinda sio mungu najuwa wewe kiranga uamini mungu

Kuna watu hata hiyo mizimuyako kama inalipa wanaweza kuimendea.

Leo nilikuwa naangalia videos jamaa wanaongelea aliens watakuja kuvamia dunia kutoka sayari nyingine, jamaa mmoja akasema yeye kama wanakuja aliens wanawake wazuri wazuri hana noma nao, atajichanganya nao tu.

Kuna watu hawana akili nzuri.

Unaweza kuomba mizimu ikulinde watu wakaomba uraia mpaka kwenye mizimu yako.
 
Kwa sasa naitaji mtoto mkuu. Niliogopa kwa sababu nilifukuzwa kazi ila sasa hivi mambo mazuri.
Kula vizuri na kwa wakati hlf kazana kuchapa miti mkeo bila kukata tamaa mimba itaingia vinginevyo itakulazimu kuwaona wataalamu wa afya
 
Kuna watu hata hiyo mizimuyako kama inalipa wanaweza kuimendea.

Leo nilikuwa naangalia videos jamaa wanaongelea aliens watakuja kuvamia dunia kutoka sayari nyingine, jamaa mmoja akasema yeye kama wanakuja aliens wanawake wazuri wazuri hana noma nao, atajichanganya nao tu.

Kuna watu hawana akili nzuri.

Unaweza kuomba mizimu ikulinde watu wakaomba uraia mpaka kwenye mizimu yako.
Nifanyaje sasa mkuu ili niweze kumpa mimba mwezi huu kwa sababu nime wadanganya hanamimba changa.
 
Kwanza kabisa kudanganya wakwe si kitu kizuri. Kwa nini unadanganya wakati mke wako mwenyewe?

Pili, mimba si kitu cha mara moja, unaweza kukaa mwaka mnatafuta mimba, kwa nini unafanya papara?

Tatu, kwa nini hutafuti ushauri wa wataalam?
 
Back
Top Bottom