Huyu bwana mdogo hajitambuiUnahisi mambo ya mimba ni sawa na kubet unakuja kuuliza ili kutabiri matokeo. NENDENI HOSPITALI ACHA UPUUZI.
Kazi zangu saingine na lala kazini ila muda mwingi na lala nyumbani.Kupata au kutokupata mimba ni mambo ya pande zote mbili..Either wewe au yeye ndo anatatizo au mnakutana siku ambazo sio za kutunga mimba..
Nendeni hospitali mpate ushauri
Paka amefanya nini tena? Sijaelewa naona mara miezi sita mara paka mara mimbaJamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba paka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba paka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
Basi sawa. Ila ukienda kupima utapata hakika na kujiamini zaidi. Haya mambo yapo sana katika jamii iliyotuzunguka. Tunawatupia mpira wakina mama na kukwepa uhalisia/ukweli. Vyakula na lifestyle ya sasa vimetuathiri sana Wanaume wa kizazi hiki. Ni muda muafaka umefika wa kujadili kwa kina masuala ya uzazi kwa sisi wakina Baba.Ahsante ila Mimi najiamini mzima.