Mke wangu hapati mimba...

Mke wangu hapati mimba...

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,311
Reaction score
2,889
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
 
Last edited:
Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba paka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba paka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
miezi sita bado mapema sana
 
Apati=hapati. Labda wewe ndo huna uwezo wa kubebesha mimba halafu unamsingizia binti wa watu. Ni PM nitamsaidia abebe mimba.
 
Hilo suala linahitaji ushirikiano wa watu wawili, hawezi kupata hiyo mimba kama hujampa.
 
Kupata au kutokupata mimba ni mambo ya pande zote mbili..Either wewe au yeye ndo anatatizo au mnakutana siku ambazo sio za kutunga mimba..

Nendeni hospitali mpate ushauri
 
Umekosea sana kumchoma iyo cndano huwa ni mbaya sana hapo nendeni hospital mkapate ushauri (huwa wanashauri kutumia uzazi wa mpango ukiwa tayari na watoto koz lolote laweza tokea)
 
Back
Top Bottom