Mkuu kumbe nyanja hizi pia upo fit?Moja ya vitu vigumu ni kumshauri mtu kuhusu mwenza wake, hakuna anayejua ni jinsi gani unampenda.
Humu ndani utapata ushauri mbali mbali lakini situation nzima ni wewe unaijua, nakushauri tafuta mtu mzima unayemuamini mueleze in and out, ukiweza fanya kwa watu kama watatu hivi sikia comments zao then chukua hatua.
Vinginevyo u got the wrong couple but u deserve to be happy with ur mariage, so chukua hatua
Mkuu kumbe nyanja hizi pia upo fit?