Benjonathantz
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 237
- 52
Muda mwema utawale kwako!
Katika Maisha yangu nimekutana na mambo mbalimbali na hili likiwa moja wapo.
Kwa kufanya huduma za Injili maeneo mbalimbali hapa nchini. Imenipa fursa ya kuyajua matatizo mengi ya ajabu ajabu.
Moja ya mambo hayo ni wanawake wasiojisikia kuwapa unyumba waume zao kwa Muda mrefu. Kwa mtazamo wangu nilidhani ni jambo dogo tu lakini siku zinavyozidi kwenda. Nakutana na watu wengi wenye tatizo hilo.
»Siku moja nilikutana na Mwanamke mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa alikuwa hajisikii kumpa mumewe unyumba kabisa na alitufuata kwa ajili ya Ushauri.
Hatukutaka kumshauri chochote kabla ya kumsikia mumewe akikiri tatizo hilo.
Mumewe alikiri tatizo hilo akisema "MKE WANGU HANIPI UNYUMBA" .. Alitusihi tumpatie maombi na ushauri ili mkewe afunguliwe kutoka katika Tatizo hilo.
Basi bila kuchelewa tuliliita jina la Yesu na ghafla yule mwanamke akaangushwa na mapepo na yakaanza kutamka wazi wazi kuwa yamefunga ndoa na mwanamke yule na hakuna ataye ifunja ndoa hiyo. Hatukukata tamaa mana tulitambua ni kelele za shetani tu. Mungu alimponya mwanamke yule kutoka katika vifungo vya shetani.
Kuna watu wengi wana matatizo kama haya, Wengine Wanaota ndoto mbaya wakifanya mapenzi na wengine wanakosa hadi watoto katika kipindi cha ndoa.
Kama una tatizo kama hilo Dawa ni Damu Yesu Bila kukunja maneno!!