Mke wangu haniheshimu

chakata uchakatavyo kama hela amna ni kazi bure atafurahi wakati wa show akimaliza hasira zinarudi palepale. ukwa na hela heshima itakuwepo hatakama show dhaifu hawez kusema
Bora uwaambie ukweli.
 
Mpeleke kwa wanasaikolojia..pole...yaani inaoneekana kila mtu annamuona adui...too bad
 
Muache awe singo maza akajiunge kwenye kikundi Cha ma super women akawadanganye na wengine waachike wawe mashindikana kama yeye
 
"Children are emotional weapon used by women"

Shida ipo kwako kwa namna yoyote ile, kwanza haujiamini na haujiheshimu sasa unafikiri huyo mwanamke atakuheshimu?.

Acha uzwazwa/upopoma wanawake wapo wengi sana wenye heshima lakini hutoweza kuwapata kama hautaanza kwanza kujiheshimu na kujithamini mwenyewe.

Man up
 
Mtoa Uzi kwani WAKATI unamvizia na kumfukuzia jaman kwani haukuona hayo au,si ulimpenda mwenyewe mkapendana Tena kwa makubaliano
 
Sasa una watoto 2, kipindi chote hicho umekaa na mtoto wa watu, inaonyesha hata mahari hujatoa. Alafu unataka akuheshimu
 
Huyu ukioaa umekwishaa mkuu... Bora hata angelelewa na babu yake na bibi angekuwa anaheshimu sauti ya mwanaume ila huyo kenge wako pole sanaa..
 
Pole sana ndugu feisal firdaus, naomba kuuliza je hiyo tabia alikuwa nayo muda mrefu kabla hujaamua kumuweka ndani na kuzaa nae au imeanza baada ya hayo yote.
 
Kimbia mkuu ukajipange ulee watoto la sivyo utakufa siku si zako na hao watoto hutalea. chagua moja ufe haraka uache watoto... au usepe uwe na amani na nguvu ya kulea watoto.. NB : naongea kwa uzoefu yameisha nikuta kama yako.
Ulikufa??
 
Mlete kwangu nimpe dozi ya uhakika.
Vijana mnapiga show lainilaini sana aisee.
Jeuri ya mwanamke ni kutokana na kutokamuliwa vizuri na mwanaume kuwa suruali.
Sijawahi kuona ke mwenye jeuri mbele ya hela
 
mlete kwangu akae boarding hapa na mm afu ujue umchukue baafa ya miez mi2 tuu utanishukurušŸ™ƒšŸ˜‰
 
Umemaliza mkuu
 
Una hela???? Tuanzie hapo
 
Sio kila mwanamke afaa kuwa mke!

Wengine ni wakugonga once na kupita mbali nao.

Ukikariri kumfanya mke itakula kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…