Mke wangu atanifikisha pabaya

Kipi kinakufanya um doubt kama ataweza lea wanao? Wewe ndio unayemjua sisi hatuwezi jua kama ataweza au la? Majibu unayo mwenyewe.

Nina mawazo mpaka nakosa usingizi mimi sielewi huyo mwanamke mwingine nampenda sana na naamini nikiwa nae nitakuwa na furaha,amani,na maendeleo ila nawaza ataweza kulea watoto wangu??na kuendelea kuwa na huyu mwanamke mwenye mimba bado sitakuwa na amani kabisaa kila nikimuona napata hasira na je nitajuaje km huyu mpya ataweza kunitunzia watoto japo yeye anasema ataweza
 
Nina mtoto mmoja,huyo atakaezaliwa ndo sina uhakika km ni wangu nasubiri azaliwe,yea nilitembea nae mara moja,nasikia wamama wa kambo wananyanyasa watoto mdomaana,huyu replecement nina karibia mwaka sasa toka nimekuwa nae na nimemuona ni mvumilivu kwani amenivumilia mambo mengi pia nimemchunguza hana mambo ya ajabu ya wanaume,,......yes ni ndoa ya kanisani ila mahakamani inavunjwa kwa sababu nilizonazo nilishafatilia inawezekana kuvunjika
 
Mwachie watoto wenu alee; kubali gharama za kuhudumia nyumba mbilli. Ni kweli hata kama mwanamke unamuona mzuri vipi...tabia halisi utaijua akiingia ndani; na mtoto wako nadhani ni mdogo...anahitaji malezi ya real mother...mama wa kambo wengi (si wote) ni noma.

Nina mtoto mmoja,huyo atakaezaliwa ndo sina uhakika km ni wangu nasubiri azaliwe,yea nilitembea nae mara moja,nasikia wamama wa kambo wananyanyasa watoto mdomaana,huyu replecement nina karibia mwaka sasa toka nimekuwa nae na nimemuona ni mvumilivu kwani amenivumilia mambo mengi pia nimemchunguza hana mambo ya ajabu ya wanaume,,......yes ni ndoa ya kanisani ila mahakamani inavunjwa kwa sababu nilizonazo nilishafatilia inawezekana kuvunjika
 
Je nikiamua kuishi na huyo mwanamke mpya km mwaka kumchunguza analeaje watoto,mtoto si mdogo sana ana miaka 6 ,nikaona anafaa kulea,mana huyo mama yake mzazi tu hana upendo sana na mtoto wake wa kumzaa,je nikigundua huyu replacement anakaa vzr na watoto wangu kuna haja ya kuhudumia nyumba mbili?mana hata mimi sipo tayari kukaa mbali na watoto wangu
 
Pia huyo mwanamke nilivyomuoa alikuwa ameshazaa mtoto na mwanaume mwingine,ikatokea kapata mimba yangu ikabidi nioe ila nilikuwa cjajua km kazaa
 
Kwa hiyo una uhakika kuwa mama mzazi wa mtoto wako hana mapenzi na mtoto wa kumzaa na hataki kukaa na mtoto wake? Au ni kwamba hujali hisia zake?

Na huyu atakayezaliwa kama ni wako nani atamlea?

Je nikiamua kuishi na huyo mwanamke mpya km mwaka kumchunguza analeaje watoto,mtoto si mdogo sana ana miaka 6 ,nikaona anafaa kulea,mana huyo mama yake mzazi tu hana upendo sana na mtoto wake wa kumzaa,je nikigundua huyu replacement anakaa vzr na watoto wangu kuna haja ya kuhudumia nyumba mbili?mana hata mimi sipo tayari kukaa mbali na watoto wangu
 
Pia huyo mwanamke nilivyomuoa alikuwa ameshazaa mtoto na mwanaume mwingine,ikatokea kapata mimba yangu ikabidi nioe ila nilikuwa cjajua km kazaa

Yaani mzazi bila kujua historia na tabia ya my-GF wako wewe unakong'otu na kupachika bao, hiyo kiboko ya reli..

Mimi nakushauri achana nae na hudumia watoto wako popote walipo, anajifanya kukuroga kama anakupeeenda ukigeuka
tu jamaa wana dig!!
 
Miongoni mwa tatizo linaloikumba jamii yetu ni uchaguzi wa mwenza sahihi wa kuwa naye.Mara nyingi tumefikia maamuzi ya kuruhusu mioyo yote kupokea hisia kutokea kwa mtu si kwakuwa tunampenda kwa dhati,bali ni kutokana na namna anavyokuridhisha....tumaini la maisha bora,tabia ya kuona ndoa kama fasheni.

Yatupasa tuwe makini sana tunapotaka kuanzisha urafiki/uhusiano na mtu na tujenge tabia ya kuwachunguza japo kidogo hili kuweza kujua tabia zao,historia zao(historia huweza kujirudia) ,pia malezi yake kwa kuwa malezi yanahusika sana katika uimara wa uhusiano wa mume na mke

USHAURI WANGU; Jaribu kujipa nafasi ndani ya nafsi na utafakari kwa umakini sana kuhusu madhara na faida ya maamuzi yako;tafiti,omba Mungu wako akupe hekima katika hili...washirikishe na wale waliofungisha ndoa yako...binafsi naamini utapata jibu

Naomba Kuwasilisha.
 
Hata hivyo hicho kipindi chote mtoto alikuwa haishi na mama yake alikuwa anaishi na bibi yake ambae ni mama yangu,kwahyo swala la mtoto kukaa nae yeye halina ulazima hata akikaa nae haonyeshi ile hali ya kujali km ndo mama mzazi wa mtoto,na sio kwamba sijali hisia zake,ila ni kutokana na hayo
 
Lakini jamani kwa hali ya kawaida km mwanamke unampa kila kitu alafu anatembea na wame za watu na bado anakuendea kwa waganga,kuna mapenzi hapo jamani?kuns kosa la kusamehe kutoka moyoni hapo?nasikiaga katika kosa ambalo mwanaume hawezi kulivumilia nipale akigundua mkewe wa ndoa anavulia nguo wanaume wengine tena wame za watu ni kweli c kweli?
 
Kama mtoto alikuwa anaishi na bibi yake (mama yako) kipi kinachokuumiza kichwa kuishi na huyo mke mpya? Kwa nini unafikiria kumtoa mtoto kwa bibi aje akae na replacement?

Pili...ni kwa nini mtoto wenu mliamua akae kwa bibi ...na umejuaje kuwa mkeo hawezi kulea watoto wake wakati hakuwahi kupata fursa ya kufanya hivyo..

Huoni kuwa nyie wote wawili wewe na mkeo hamna sifa za kulea mtoto badala ya kufikiria kuwa ni mkeo tu ndio mwenye hayo mapungufu.

Mwache mtoto aendelee kukaa na bibi yake...itamsaidia asijali mnafanya nini na nani...mna divorce au mko pamoja...kwani inaelekea kwenu si tatizo kuwa mbali na mtoto wenu. Better for both of you.

Hata hivyo hicho kipindi chote mtoto alikuwa haishi na mama yake alikuwa anaishi na bibi yake ambae ni mama yangu,kwahyo swala la mtoto kukaa nae yeye halina ulazima hata akikaa nae haonyeshi ile hali ya kujali km ndo mama mzazi wa mtoto,na sio kwamba sijali hisia zake,ila ni kutokana na hayo
 
Usifanye maamuzi kwa kusikia...fanya maamuzi kwa kufikiria faida na hasara...si kwa kuwa fulani anafanya basi na wewe unataka kufanya...think....

Lakini jamani kwa hali ya kawaida km mwanamke unampa kila kitu alafu anatembea na wame za watu na bado anakuendea kwa waganga,kuna mapenzi hapo jamani?kuns kosa la kusamehe kutoka moyoni hapo?nasikiaga katika kosa ambalo mwanaume hawezi kulivumilia nipale akigundua mkewe wa ndoa anavulia nguo wanaume wengine tena wame za watu ni kweli c kweli?
 
sasa kama unasema 'atakufikisha pabaya'
tukushauri nini?
ukimrudia ndo atakufikisha pazuri?

Sometimes i fail to understand some people,yani jamaa anajua atamfikisha siko then unakuja huku kuomba ushauri and u already have the answer!
 
Sio kipindi chote mtoto alikaa kwa bibi ila ni kipindi cha mfarakano kwahyo km kukaa na mama yake alishawah sana na nikaona malezi yake anyway..
 
Nina mtoto mmoja,huyo atakaezaliwa ndo sina uhakika km ni wangu nasubiri azaliwe,yea nilitembea nae mara moja,nasikia wamama wa kambo wananyanyasa watoto mdomaana,huyu replecement nina karibia mwaka sasa toka nimekuwa nae na nimemuona ni mvumilivu kwani amenivumilia mambo mengi pia nimemchunguza hana mambo ya ajabu ya wanaume,,......yes ni ndoa ya kanisani ila mahakamani inavunjwa kwa sababu nilizonazo nilishafatilia inawezekana kuvunjika

mkuu pole,
huyo replacement anabembeleza ili nae apate bahat ya kuolewa ndo maana anakuwa mvumilivu ili aingie ndani.

Kama huyo wa kwanza alienda kwa mganga ukamrudisha ( hapa sipaamini coz usingeweza kugundua) Je haiwezekani huyo replacement nae kaenda kwa mganga ili aolewe?

zungumza na mkeo wa halali (kwanza), rekebishen makosa muendelee na maisha
 
Dah,usifanye kosa ulilofanya kwanza na huyu mpya mchungunze kwanza inawezekana anaficha makucha ili umuoe as anajua kuwa ndoa yako ipo njia panda
 
Back
Top Bottom