- Thread starter
- #41
Sasa wewe unaona kuna kosa la kurekebisha kuendelea kuishi na mwanamke malaya waziwazi na mshirikina?nimeshasema swala la kuniendea kwa waganga yeye mwenyew amelithibitisha sasa huamini nini??ww ungeweza kuendelea kukaa na mwanamke unaejua wenzio wamemvua nguo na bado anakuloga si ni muuwaji huyu?na alishawah kutishia kuniwekea sum mimi na mtoto sasa upendo uko wapi?