Mke wangu anataka account password yangu ya fb

Mke wangu anataka account password yangu ya fb

wanawake wana kero sana bora ht niongee humu lbd asira zng zitaisha.huyu wangu kila nikishika sim anaanza kuchungulia nafanya nn?!cha ajab yy mi simfwatilii na yuko biz na sim 24hrs ajab nikishika yng tu anaacha kutumia yk anaanza kuchungulia.mara ukirud aanze kuchungulia boxer km umegeuza aanze la kusema.amekaa kisharishari kila mda hd nafkiria ht nimtoroke

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba yake

sent from my iPhone 6
 
Utamuweza mankaa?? Ye ndo atar zaidi ananusa mpaka pumbu

sent from my iPhone 6
 
Kama haina pesa / fedha wewe mpe tu..
 
sema tu hujukuwa, ulitakiwa unapoowa uweke kila kitu chako safi na wazi
 
Za asubuhi wanajamii, Mimi ni mzima wa afya, Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe password aniasidie kuisafisha. Mimi sina chohote ninachomfichaga but sipendi kushare account password na mtu yeyote, sasa imekuwa ugomvi tuu. Naomba ushauri nifanyeje? NB; Lugha chafu hazikubaliki ni ushauri tuu naomba. Sent using Jamii Forums mobile app
HATA KWA DAWA...UKIMPA BASI WEWE ZUZU NA MJINGA KABISA...Ila nawe usiombe zake...
 
Fungua nyingine umpatie simple like that
 
Fungua nyingine umpatie simple like that
 
Hakuna kinachotakiwa kuwa faragha mkishaoana, faragha ni nyote wawili. Kama mnaonana na kuingiliana uchi then faragha ije iwe social media account! Bank account!! Si ndo mwanzo wa kutoaminiana na kutayarisha kuvunjika ndoa huko baadae.
hayo ni maoni yako pia.
 
Back
Top Bottom