Mke wangu anataka account password yangu ya fb

Mke wangu anataka account password yangu ya fb

Yaan hapo ndo aman itakapoanza kupeperuka! simama kiume naww! khaaa!atakuja siku atakuambia mbadilishane line zasimu! atakuja siku atasema twende wote job had unapotoka kazini!bla blah kibao kwasisi wanawake!USIMPE MUYEGO
Kuna mahaba rafiki ila hayo ya kujipa wasiwasi wa moyo hapana kwa kweli bora ukutane nayo ila siyo yale ya kuyatafuta mwenyewe.

Ila kazi anayo huyo bidada.
 
wanawake wana kero sana bora ht niongee humu lbd asira zng zitaisha.huyu wangu kila nikishika sim anaanza kuchungulia nafanya nn?!cha ajab yy mi simfwatilii na yuko biz na sim 24hrs ajab nikishika yng tu anaacha kutumia yk anaanza kuchungulia.mara ukirud aanze kuchungulia boxer km umegeuza aanze la kusema.amekaa kisharishari kila mda hd nafkiria ht nimtoroke

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifanye hivo bana mkuu. Anakupenda huyo ndio maana. Hataki uibwe.
 
Kuna mahaba rafiki ila hayo ya kujipa wasiwasi wa moyo hapana kwa kweli bora ukutane nayo ila siyo yale ya kuyatafuta mwenyewe.

Ila kazi anayo huyo bidada.

kwakweli shost!alafu ndoa bado changa sana !
 
Huyo mke kiboko, badala aombe password ya bank anaomba ya fb, mbombo jillipo ‍♀️‍♀️‍♀️
Ndio akili yake ilipoishia. Pole yake sa sijui huko fb atapata nini ambacho kina faida. lol
 
mm naona kuna watu wanaoa halafu hawajajiandaa
kwan unajarbu kuficha nn humo???
kulikuabna haja gan ya kuoa akat unajua bado una michepuko

alafu ww mtu mzma kwan bado unatongozea fb?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kuamini hivyo mkuu ila najua sisi wanawake tulio wengi tunataka tuwe peke yetu hatutaki kuibiwa
kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu sn!ila huyu wng km ni wivu ni kiwango cha bombadier.nahisi ujinga wng uliniponza mwanzo wa kutaka nimkomoe kwa kumpa kitombo kikali ili anikimbie matokeo ndo haya.kisu mfupani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio qnataka sasa. Mwambie achague moja,password ya ATM au ya fb. Lakini mkeo anaweza kuwa bobo,kweli kabisa....Fb password???
Hahahaaaa. Angekuwa humu mtoto mzuri mwenzangu tungemshauri aisee vipo vya kung'ang'ania kuvijua na vyenye maana sana kuliko hiyo password ya fb
 
kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu sn!ila huyu wng km ni wivu ni kiwango cha bombadier.nahisi ujinga wng uliniponza mwanzo wa kutaka nimkomoe kwa kumpa kitombo kikali ili anikimbie matokeo ndo haya.kisu mfupani

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. Mzowee tu kwa kweli.
 
Hahahaaaa. Angekuwa humu mtoto mzuri mwenzangu tungemshauri aisee vipo vya kung'ang'ania kuvijua na vyenye maana sana kuliko hiyo password ya fb
Kwanza naitoa wapi akili mbovu hiyo mtoto nzuri mwenzangu!!!
Huyo ni wa kupima ubongo
 
Back
Top Bottom