mke wangu anasumbuliwa na lecturer

kamseme kwa uongozi wa chuo...ukiwa na evidence hai..!!
 
Si akashtaki kwa uongozi? Hana hata academic advisor?

Wee mwenyewe umesoma chuo? Isijekuwa yale ya kuvunja amoeba ya shule.
 
Si akashtaki kwa uongozi? Hana hata academic advisor?

Wee mwenyewe umesoma chuo? Isijekuwa yale ya kuvunja amoeba ya shule.

nimesoma so nikifikiria kama akienda kusema kwa uongozi litakuwa bifu kubwa zaidi
 
ampe k yaishe. waswahili wanasema k haina makombo. ikishapigwa maji inarudi kua fresh kama mpya
 
nimesoma so nikifikiria kama akienda kusema kwa uongozi litakuwa bifu kubwa zaidi
kama ana evidence either text message kwenye simu aende kwa mkuu wa chuo suala litafanyiwa kazi asiwe muoga
 
ninavyojua ukimsemea kwa uongozi ni kama unaleta bifu na malecturer na itamsumbua sana kwenye masomo yake

Kwa hiyo unaona ni heri aendelee kusumbuliwa namna hiyo? Akichoka na asumbufu akaamua kugawa utamwona msaliti?!! Fanya maamuzi ya kikamanda, TAFUTA USHAHIDI MUPELEKE KORTINI! Sku hizi kuna spy cameras za bei rahisi tu mpaka 50K unapata a tiny camera katika form ya miwani, neclace, saa, pen au kitu kingine, then wife anajipodoa na kujifanya amelegeza msimamo, mazungumzo yote yanakuwa recorded live! Au kama vipi mharibie tu, mwambie wife akubali, wakishakubaliana sehem ya kukutana anakutonya mnaenda kuvamia mnampa kichapo cha mbwa mwizi unakuwa umeambatana na watoto wa mbwa wawili wanamuinamisha huku umafilm tukio zima, from there unakuwa unamblackmail kila unapohisi unahitaji vijisenti, pia wife atasoma kwa raha tupu, ukimtisha kidogo tu anatoa marks za bure! CHANGAMKA WEWE MTOTO WA KIUMENI
 
kesho mkeo akikwambia naona lecturer amebadilika ghafla utamchukuliaje ? si utajua tu lecturer amemfanya mkeo choo cha stendi
 
wasiliana na OFM(OPERATION FICHUA MAOVU) WATAKUSAIDIA SANA...
 
Huna bastola?!!!!!!
 
Unaweza fanya mambo mawili: 1. Nenda TAKUKURU watakupa mbinu za kumuwekea mtego wa rushwa ya ngono na atashikwa bila mashaka yoyote 2. Omba usahauri kwa Lecturers wengine chuoni kwake ama hata chuo kingine juu ya kulifikisha jambo hilo kwa uongozi. Hii inategemea lakini kama kweli unaona mkeo anaonewa na siyo kwamba juhudi zake zinazaa matunda hayo ambayo anapewa. Ukisharipoti uongozi wa juu na kuonekana Lecturer ana kosa , hakuna bifu hapo maana akiendeleza basi atakuwa anapoteza kibarua chake. Asante
 
Ndugu mwenye mke, busara yatakiwa unapowaapproach malecturer hasa ukizingatia wao ndo wanaofundisha na kutahini.
Pia chunguza kwa makini uwezo wa mkeo kitaaluma isijekuwa yeye ndiye anayeforce favour ya lecturer.
Vinginevyo mwone dean wa faculty anayosoma mkeo kwa ushauri.
 

Asee hapo umenipa wazo la maana ngoja nitafute watu wa kazi watatu bora kuharibiana tu
 

uwezo sio ishu inafikia hata hasaishi mtihani wa wife akifanya paper harudishi matokeo anataka wife aende ofisin wakajadili
 

asee umenifungua masikio ngoja nijaribu na hii ya takukuru
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…