kamanda5ch
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 210
- 285
hapo kwenye subject ongeza R ili isomeke LECTURER
kamseme kwa uongozi wa chuo...ukiwa na evidence hai..!!
Si akashtaki kwa uongozi? Hana hata academic advisor?
Wee mwenyewe umesoma chuo? Isijekuwa yale ya kuvunja amoeba ya shule.
kama ana evidence either text message kwenye simu aende kwa mkuu wa chuo suala litafanyiwa kazi asiwe muoganimesoma so nikifikiria kama akienda kusema kwa uongozi litakuwa bifu kubwa zaidi
ninavyojua ukimsemea kwa uongozi ni kama unaleta bifu na malecturer na itamsumbua sana kwenye masomo yake
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
kama ana evidence either text message kwenye simu aende kwa mkuu wa chuo suala litafanyiwa kazi asiwe muoga
Kwa hiyo unaona ni heri aendelee kusumbuliwa namna hiyo? Akichoka na asumbufu akaamua kugawa utamwona msaliti?!! Fanya maamuzi ya kikamanda, TAFUTA USHAHIDI MUPELEKE KORTINI! Sku hizi kuna spy cameras za bei rahisi tu mpaka 50K unapata a tiny camera katika form ya miwani, neclace, saa, pen au kitu kingine, then wife anajipodoa na kujifanya amelegeza msimamo, mazungumzo yote yanakuwa recorded live! Au kama vipi mharibie tu, mwambie wife akubali, wakishakubaliana sehem ya kukutana anakutonya mnaenda kuvamia mnampa kichapo cha mbwa mwizi unakuwa umeambatana na watoto wa mbwa wawili wanamuinamisha huku umafilm tukio zima, from there unakuwa unamblackmail kila unapohisi unahitaji vijisenti, pia wife atasoma kwa raha tupu, ukimtisha kidogo tu anatoa marks za bure! CHANGAMKA WEWE MTOTO WA KIUMENI
Ndugu mwenye mke, busara yatakiwa unapowaapproach malecturer hasa ukizingatia wao ndo wanaofundisha na kutahini.
Pia chunguza kwa makini uwezo wa mkeo kitaaluma isijekuwa yeye ndiye anayeforce favour ya lecturer.
Vinginevyo mwone dean wa faculty anayosoma mkeo kwa ushauri.
Unaweza fanya mambo mawili: 1. Nenda TAKUKURU watakupa mbinu za kumuwekea mtego wa rushwa ya ngono na atashikwa bila mashaka yoyote 2. Omba usahauri kwa Lecturers wengine chuoni kwake ama hata chuo kingine juu ya kulifikisha jambo hilo kwa uongozi. Hii inategemea lakini kama kweli unaona mkeo anaonewa na siyo kwamba juhudi zake zinazaa matunda hayo ambayo anapewa. Ukisharipoti uongozi wa juu na kuonekana Lecturer ana kosa , hakuna bifu hapo maana akiendeleza basi atakuwa anapoteza kibarua chake. Asante