Mke wangu ananiumiza kichwa

Tatizo la mkeo ni ELIMU ELIMU ELIMU.

Hizo Elimu za kuunga unga Mara nyingi haziwasaidii saaana mana kwanza kusaidiwa kwingi na vijana.

Kwasababu inaonekana ana ulimbukeni mwingi, mpige kibano cha hatari asirudie tena akirudia cossovo inamhusu.
 
Tatizo la mkeo ni ELIMU ELIMU ELIMU.

Hizo Elimu za kuunga unga Mara nyingi haziwasaidii saaana mana kwanza kusaidiwa kwingi na vijana.

Kwasababu inaonekana ana ulimbukeni mwingi, mpige kibano cha hatari asirudie tena akirudia cossovo inamhusu.
Duuuuh Mkuu tangu nizaliwe sijawahi kupiga mwanamke, nije kupiga leo si nitaanza kusoteshwa polisi mara ustawi wa jamii, sikutegemea mwanamke ambaye nimedumu nae muda mrefu na kujisifia kwa ndugu na rafiki zangu kuwa na mke wa namna hii, Jana kanivua nguo barabarani....natamani hata niondoke kama wiki nikae mbali nae ili akili ikae sawa la sivyo naona dalili ya kuishia kunywa tena pombe leo
 
Sawa ila kuondoka sio kutatua tatizo ni bora mkae wenyewe mtatue tatizo na umweleze mkeo maana hapo ni kesi ya fisi unampelekea ngiri
 
Mkuu. Kama itufundishavyo imani yetu, hata kama angefanya kitu gani kibaya basi adhabu yake ni MSAMAHA tu. Huyo ni mwili mmoja pamoja nawe, kaa nae chini na tatueni hayo matatizo pia kuwa tayari kutoa msamaha wa kweli bila kukumbuka kosa.
 
KUOA AU KUTOKUOA KWANGU KUNA HUSIANAJE NA USHAURI NLIOTOA? KAMA NIMEONGEA VIBAYA NIAMBIE?
Ni vizuri kujua kama mtu ana experience maana kuna kutheorise. Mke anauma na huyu jamaa ana ustahamilivu kusubiri sana kutakuwa kunamuumiza. Hivyo ushauri wako una walakini
 
unasema ulikua malaya mbwa hujui kua ndege wafananao huruka pamojaa
 
Reactions: nao
unasema ulikua malaya mbwa hujui kua ndege wafananao huruka pamojaa
Inauma cause sijawahi kumsaliti tangu niwe nae ingawa vishawishi vingi lakini najivunia kuwa na Mke kama yeye halafu suddenly nakuja fahamu jambo hilo Inauma kupita maelezo kiongozi
 
Pole sana na ukipata upenyo wa mke wa mtu mara nyingi hata ndom hukumbuki. Litafakari zaidi ikiwezekana muulize sababu ya yeye kufanya hayo. Wale walizeheka pamoja na kulea wajukuu wamepitia mengi, lakini hakuna formula moja ya maisha.
 
Mimi nilijua umemfungulia account ata ya CRDB kumbe facebook!!.
Hayo ya account ya CRDB ni kawaida katika ndoa lazima...hizi social media zinapelekea taratibu kuvunja ndoa yangu...tena kuna kijana mmoja alikuwa anachat nae, Mke wangu anamuambia yeye Mke wa mtu chalii anashindilia kwamba kampenda toka moyoni, yaani ningekuwa na uwezo ningeanika messages zote walizokuwa wanachat akyamungu kama hujaoa unaweza kukata tamaa ya kuoa....
 
Mmmm fb hatari sana kule! Watoto wa kike rahis sana kule hasa wa mikoani! Me nimewala sana kwa kuwatumia naul waje dar
 
Pole sana kwa yaliyo kupata.
"Mwanamke mzuri asie na akili ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe "
Kwa maelezo yako hili ni kosa la kwanza" kubwa"kulibaini. Kaa nae mliongee "kinagaubaga"Ni kwa nini limetokea na nini kifanyike ili kuzuia lisijirudie huko mbeleni.
Kama akionekana kujutia kosa lake samehe ili msonge mbele.
 

Mkuu umalaya ni attitude na haihusiani na mazingira,anaweza akawa anatombwa vizuri na mumewe na anapewa kila kitu ambacho mwanamke yeyote anakitaka lkn still akatombwa nje.
 
Hakuna aliyekuuliza hili,lkn mlichukua muda gn kwny uhusiano kabla hamjafunga ndoa?maana kuna formula wazazi wetu walikua wanazifuata na ndo mana wakadumu na sisi hatuzifuati ndo mana ndoa zetu zinakufa mapema.Na hapo waliokutombea sio mtaani tu,na huko chuo alipokua anasoma,bado qt wote wametomba,huyo ni malaya.
 
Hakuna aliyekuuliza hili,lkn mlichukua muda gn kwny uhusiano kabla hamjafunga ndoa?
Nilianza nae uhusiano 2009 kisha miaka mitatu baadae tukaoana lakini tulikuwa tunafahamiana muda mrefu sana kama marafiki kwakuwa Dada yake nilikuwa karibu naye nilikuwa namfundisha biblia pamoja na mdogo wake ndipo ukaribu ukazidi sana na kuzaa uhusiano...mwanzoni Dada yake alioppose sana suala lile ila alipoona nipo serious na mdogo wake ndipo akanipa go ahead na kufanikisha mengi. Sikuwahi kusikia tabia yake mbaya hata Dada yake alikuwa akiniasa sana kwamba mdogo wake hajui wanaume hivyo nisimchezee na kisha kumtelekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…