Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,940
- 14,713
Sasa ulitaka mjadili then akuunge mkono kila kitu? Yeye katoa mtazamo wake. Wewe kubali kutokubaliana. Ukianza wasiwasi wa ajabu utaharibu mahusiano yako kwa sababu za kijinga.
By the way mnakaa mnabishana mambo ya Diamond mpaka unakua na wasiwasi??? This remind me miaka ya nyuma demu wangu alikua anampenda sana Drake mpaka akawa anajiita sijui nani Drake eti na mimi nikawa naona wivu[emoji3][emoji3] baadae nkaona ulikua utoto tu....
Sasa na nyie mnaweza kugombana kwa sababu za kitoto mno.
Umefunga ndoa ya kanisani au msikitini???