Mia tisa itapendeza
Member
- Dec 7, 2017
- 41
- 27
Ww unajitetea tu si useme ukitoka unapitia bar na kwa machangudoa tu....huyo mkeo aongeze jitihada akutandike has a hadi unyookeMimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi za kichina zilizotapakaa hapa jijini dar ambazo tunajenga nyumba mbalimbali za miradi ya jamii.
Sasa mara nyingi pesa huwa tunalipwa kwa kila wiki, sasa hapa kati huwa napigika sana yaani nakuwa sina pesa hivyo ni lazima nijiongeze kwa kufanya
Mbona ww unalelewa namwanamke ??siulisema hum kwamba mkewe ndo anatoa hela yamatumizi .sasa sibora jamaa anapambana nahaliyake ?Na wewe unajiita mwanaume