Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Na wewe onyesha mabadiliko ,akikuletea dharau usionyeshe reaction yeyote ,usiumie Wala usikarike...ukifanya hivyo itakuwa kama unamfundisha siraha ya kukujeruhi
 
Hapo mwisho umetaja ukweli wenyewe. Huyo si wa kujenga familia. Yupo kwako kimaslahi na ndio maana anakwambia hana haraka ya kuzaa. Hataki kujifunga na wewe kwa mtoto sababu hana ndoto za kuzeeka na wewe.

Binadamu wabishi sana...

Atakuja kuelewa ikishakuwa Late
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom