Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,416
- 5,978
Kuna namna dunia inakwenda na wengi wenye roho zisizo na msimamo wanapata matokeo kama haya maana hapo kilichokuponza ni huruma pekee na kuona kama atakua mwema siku zote na katika mikasa hii yenye mamumivu naweza thibitisha kuwa mwanaume ni mwaminifu siku zote achana na hizo asilimia 2 za hawa wagaigai
Kuna watu hasa wanawake hawanaga shukrani. Jiulize inapofikia lijimama lina mtoto wa miaka 25, maisha mazuri nyumba magari mashamba,maduka linahonga wanaume,hela linasomesha na lenyewe watoto wa mahawara,hatimae linabambwa likituma picha za utupu kwa mwanaume mwingine. Yaacheni yalivyo yanajijua yenyewe