Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
Hata 35 tunaringa na mtu hanibabaishi as long as, I'm happy!Tayana-wog 29 yrs kwa mwanamke kweli anapaswa kuringa? Si umri unakuwa umeenda?
Yaani mwanaume ukija unaeleweka tutaenda sawa,hueleweki kafie mbele !
Ndo maana nawapenda wazungu tu bongo tuna mentality za ajabu š¤£
Eti umri umeenda,umeenda wapi kwani?
Mama angu aliolewa na 30 Tena miaka hiyo ya 80 ,sembuse Leo š¤£
Jmn mambo yamebadirika sn
