Lazima usachiwe kama ukiobwa hutoi unasema sina, alafu unarudi kila siku umelewa. Ila huo siyo wizi anasogeza tu, angekuwa mwizi asingechukuwa zote angaokota moja ili usigudue ila yeye anakomba zotee! haaa! ila huyu kiboko,na huyu mume naeanaonekana anamwogopa huyu mwanamke we hela zinakobwa zote ye kimyaa.