Mke wangu ananiibia pesa

Ushauri mzuri kuliko wote ni wewe kuacha kunywa pombe kwa sababu hupelekea pesa zako kuchukuliwa bila wewe kujua. na hatuna uhakika kama ni mkeo anaiba au walevi wenzako wanakuchukulia.
 
Huyo mke wako anatakiwa apate ushauri wa kisheria ili akufungulie kesi.
 
Hivi unalalaga na suruali?
Au mnywaji wa pombe za rombo!
 
Hatuwezi kukukanya tabia ya kunywa pombe! Mwenyewe ndio starehe yako! Lkn fanya hivi! Pesa weka ktk simu! Jioni toa za kuspend huko bar! Asubuhi katoe kwa mangi dukani za kumachia mamsap! Hakikisha mfukoni mwako Unabaki na funguo na simu! Atapekuraa we haambulii kitu! Kugombana kutaka
 
Weka hela kwenye sim siku hizi bar nyingi tunalipa kwa tigopesa au mpesa ukirudi uko wimbi lazima usachiwe ni wanawake wasio sachi waueme zao
 
Acha Pombe
 
Zikibaki kwenye ulabu,mwachie dada wa bar. Huyo atakutunzia,siyo mke!
 
Huko had unakuwaga nanani.hakuibiii anachukua n.a. kukutunzia siku pamper za mtot0.zikiiisha atanunua n.a. chenji ya pombe ukute vihela ambavyo unAmwachia havìtoshi kwa nini asijipngezee
 
Huko had unakuwaga nanani.hakuibiii anachukua n.a. kukutunzia siku pamper za mtot0.zikiiisha atanunua n.a. chenji ya pombe ukute vihela ambavyo unAmwachia havìtoshi kwa nini asijipngezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…