Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Mwizi ni mwizi tu, hata akiacha pombe atasachiwa tu..Acha pombe
ha ha haha aiseee we ni muhanga wa lipi?Mwizi ni mwizi tu, hata akiacha pombe atasachiwa tu..
By the way, wizi namna hiyo ni tatizo la kitaifa. Wanawake wengi tu wana tabia hiyo ingawa si wote.
Wapo wanaosachi ukiwa umelala na hujalewa
Wapo wanaosachi ukiwa unaoga au umetoka kidogo
La kulewa na kusachiwa...ha ha haha aiseee we ni muhanga wa lipi?
kusachiwaLa kulewa na kusachiwa...
Wewe huwa unasachi? Kqma ndiyo, kwa mtindo upi?kusachiwa
Hakuna mke mwizi duniani, anachukua mgao wake kama unabisha mpe mke talaka, ukienda mahakamani mali zako mnagawana 50 kwa 50.Mwizi ni mwizi tu, hata akiacha pombe atasachiwa tu..
By the way, wizi namna hiyo ni tatizo la kitaifa. Wanawake wengi tu wana tabia hiyo ingawa si wote.
Wapo wanaosachi ukiwa umelala na hujalewa
Wapo wanaosachi ukiwa unaoga au umetoka kidogo
hIYO NI ISHARA YA WEWE KUACHA POMBE NA YEYE ATAACHA KUCHUKUWA CHAKE MAPEMA (soft wizi) !!Ndugu wana JF,
Nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri Mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kununua kila kitu.
Cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua nikiamka asubuhi nikimuuliza anakuwa mkali akidai hela yote imeishia kwenye pombe je nichukue hatua gani?
mimi huwa sisachi huwa nampa bajeti ya uongoWewe huwa unasachi? Kqma ndiyo, kwa mtindo upi?