"Kama anakuibia, basi usilale tena na hela hakikisha unamaliza zote kwenye bar"Ndugu wana jf nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kuhemea kila kitu cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua nikiamka asbh nikimuuliza anakuwa mkali akidai ela yote imeishia kwenye pombe je nichukue hatua gani?
Huyu jamaa anakuwa hajalewa.Unajuaje kama anakusachi?
Atakuwa anazuga kalewa ili asachiwe...Huyu jamaa anakuwa hajalewa.