Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

umenifundisha
 
Reactions: THT
Mwanamke ukimg'ag'ania ndio kama umemzidishia kiburi achane nae mpe Uhuru yeye akiamua kuondoka aondoke kikubwa acha kushiriki nae kinyumba atakuua kwa maradhi
 
hapana dada ndoa sio MSALABA hata kidogo - ndoa ni matatizo ya kujitakia.
 
achana nae huyo.....ndoa ni ya watu wawili tuu.. wa tatu ni sheitwani.... mkishaanza vikao tuu,,, means kuna zaidi ya wawili kujadili ndo ya watu wawili......kosa la kwanza mshaanza kutoa ya sirini nje.....hiyo ndoa chali.....halafu wewe mwanaume unaanzaje kuwaita watu kusuluhisha ndoano yako???? hivi mkoje wanaume wenzangu.......ni wewe kuamua 1......toka hapo mwachie kila kitu....hakikisha unatunza wanao....full stop...
 
Mkuu pole...

Nunua kiwanja chako ila kwa sasa panga chumba chako kimoja then utafute means za kuongeza kipato chako then ununue Kiwanja ujenge...


Kwa Mwanaume yeyote, Ukiwa na Nyumba mnayoishi na mkeo tafadhari hakikisha unakuwa na nyumba yako nyingine asiyoijua ila ndugu zako wa damu moja unayemwamini ndo umwambie hiyo siri, hiyo ni tahadhari kwa mwanaume maana unaweza kufukuzwa na mkeo muda wowote au mkeo anaweza kukusumbua sana kila siku na ukapata msongo wa mawazo sasa kama huna sehemu ya kwenda kupumzika utakufa kwa haraka...


Njia nyingine, kama wewe hujaoa, hakikisha unajenga kwanza nyumba kwa nguvu zako mwenyewe ndo uoe afu hati ya nyumba ipeleke kijijini kwenu umkabidhi mama au baba yako au wote au dada yako au kaka yako mnayeiva naye sana, Mwanamke akikukuta na nyumba kiherehere huwa kinakata ghafla
 
Ushauri wenu wote ni wa maana sana,kila mtu ame toa kitu kinacho nifunza kitu fulani...
 
Mwisho wa siku ni jumuisha mawazo wa wana jf wanao penda kushauri wenzao wanapo fikwa na matatizo na itanisaidia kuweka msimamo wangu...
 
Kwa bahati mbaya sana dini yangu hairuhusu mke zaidi ya mmoja...
 
hapana dada ndoa sio MSALABA hata kidogo - ndoa ni matatizo ya kujitakia.
umefanya nicheke sana kikatoliki ndoa ni msalaba, watoto ni msalaba inabidi uubebe mpaka mwisho kama Yesu alivyofanya
 
Pole sana kwa hilo. ila kama ndo huyo wa kwenye picha yako hapo. Pole tena. Hukuoa ww uliolea jamii.
 
mmmhh... duuhh..!!

Kama umesema kweli haya..!!

Pigaaaaa chiniiiiiiiiiiiiii... nyambaf..!!

Usigeuke nyumaaaaaaa...!!
Ulioa ma.laya...!! fukuzaaaa...!!

Nini bana, life is short.. usikae na mtu asiye jua Love na maisha... ukisoma hii sms yangu, pigaaaaaa chiniiiiii leo leo... don't delay man...!!

Take a risk man..!! kuna limit ikifika chukua hatua..!!
 
Kumbe Kuna wanawake wakorofi hivi..kweli penye miti hapana wajenzi mumewe anaonekana Ni very understanding

kampa chances nyingi Tu zakubadilika lakini wapi..
 

Huyo kwenye Avator yako ndio Mkeo?
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu.

Kama amefikia hatua anakwambia live hakuna namna achaneni kwa amani.
 
Just avata,not my wife...



Je unapenda wanawake wa aina hiyo? , Mkeo yuko kama hivyo,
Unajua hii kesi yako tunaijudge kwa kufata maelezo yako tu, tunhemsikia na mkeo kungekuwa na hukumu ya Haki,

Hiyo Avotor yako ina maelezo mengi sana
 
umefanya nicheke sana kikatoliki ndoa ni msalaba, watoto ni msalaba inabidi uubebe mpaka mwisho kama Yesu alivyofanya
Yesu alibebeshwa msalaba......kiimani alibeba thambi zetu.......upo hapo... kama mke na watoto ni dhambi sawa......tutawabeba......mbali na hapo ndoa ni matatizo ya kujitakia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…