Asili haiachi asili ...hawa ndio wanaume wanao jifanya maromantic huku wanaumia mwisho wa siku lazima maji yafuate mkondo wakePole yaani kuanzia siku ya kwanza mpaka miaka 8 ndiyo ukaiona shida? Au ndugu zako wamekushika masikio? Maana watu wa huko Bunda wana mdomo hasa wanawake hata kama yeye ndoa yake imemshinda lakini ya kaka yake ataikomalia huyo, na ulitakiwa uangalie shida inaanzia wapi kama ndugu zako hawakumkubali lazima walete figisu za hapa nà pale, ila kwenu mnaoga ziwani hata mjini unajitengea tu [emoji3] pole sana kilema umekifuga mwenyewe.
Bonge la comment.UZI ULITAKIWA UISHIE HAPO KWENYE UMEOA (MRANGI)
UJue vijana tunakosea kujua tabia za makabila,
Huwezi kuishi na mke wa kirangi kama unavyoishi na mke mnyamwezi!
Huwezi ishi na mke wa kichaga kama unavyoishi na mke mzaramo!
Kila kabila lina mbinu zake, Tatizo kubwa lipo kwa waoaji wanaume sisi ndo hatutambui!
Kabla hujaoa kama huwezi kucheza na biti za hilo kabila kwanini unaoa?
Walangi ni wababe na ni watamu na ubabe wao , wachaga ni jeuri lakini ujeuli wao unafaida, wazaramo wana mauno wanafaida na mauno yao!
Ukitaka sifa za huku ulete kule utachemka tu!
Oweni wake wa matamanio yenu bhana mnatusumbua kutoa ushauri
Ajabu huyo unaesema hapeleki maji akiolewa na mwingine maji anatenga vizuri!
Siku moja jamaa alimuacha mwanamke kisa hakati mauno, lakini alikoenda kuolewa jamaa yake alikatiwa mauno balaa!
Hivyo tatizo siyo mwanamke ni namna ya kumuanzisha, unavyoanza naye ndivyo mtakavyomaliza
Hee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.
Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
Nilieleza kwa ufupi ila matatizo ni mengiHee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe tatizo lenyewe ni Kufua nguo na kuweka maji bafuni?[emoji1787]
Tafuta Hela blaza,
Mabafu Yana maji hukohuko ndani yake.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hebu yaeleze na hayo mengineNilieleza kwa ufupi ila matatizo ni mengi
Njoo pmHebu yaeleze na hayo mengine
Haya hayana mashiko
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Elezea hapa kwa faida ya wote watakaokupa ushauriNjoo pm
sio kila mtu anakaa kawe ukwamani kwenye mto wenu ule wengine wapo chamwino domKwenda kuoga mtoni unaona nini?Yani kuwekewa maji ya kuoga ndiyo iwe habari?Nenda mtoni uoge.
We unawajua vizuri Sana hawa Dada zangu!Mrangi??
Anyway, huyo mpandishe cheo awe mke mkubwa tena mtafutie mrangi mwenzake walogane vizuri.
Hivi nyie mmeoa au mnasimuliana,hujawahi sikia story za wanawake kuficha makucha na kuja kubadirika mkiwa kwenye ndoa?utatumia ubabe mwishowe uishie kuua mtoto wa watu uishie jela uache kula maisha!hili ndio tatizo la kutaka fananisha maisha ya wengine na yako,miaka yote mmeishi wote ulikuwa una jiwekea maji wala hauja ona taabu leo umekaa kijiweni umeskia wenzako wana pelekewa maji na kufuliwa boxer na wewe unataka, kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha na samaki mkunje angali mbichi. Mkeo ulitakiwa mfundisha toka mko kwenye uchumba leo usha mtumia ana watoto wa tatu una taka mvunja kiuno tena abebe maji kwenda bafuni ungekuwa una taka haya unge mwambia toka unataka mwoa angejipanga. So siku shauri uoe mwingine maana mpaka hapa inaonyesha hauna kipato cha kutosha utakuwa una jipa presha zaidi ya kudaiwa matumizi nyumba mbili.
Kumaliza tatizo sio mke mpya jibebe maji yako fuo boxer zako kama ulivyo kuwa unafanya wanao fanyiwa waachie wao hayo.
Ila🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daahhBadala ya kutafuta hela we unataka uoe mke mwingine, uko sawa kichwani kweli?