Mke wangu anakuja kunifanyia fujo kazini

Mke wangu anakuja kunifanyia fujo kazini

Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.

Fujo ni kosa kisheria, mpeleke mahakamani kama unadhani unayo haki
 
Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.
Usiwe mjingi ambaye huwezi ishi na kichaa,wanawake wengi ni watu wa kuhamaki hivyo kuonekana vichaa. Sasa kama wewe ni mjinga(huwezi ishi na kichaa) utapata tabu. Kaa nae chini na ujifanye mjinga then utakuwa umenielewa.
 
Fujo ni kosa kisheria, mpeleke mahakamani kama unadhani unayo haki
Mpe hela ya matumizi na mnunulie mahitji yote ya nyumbani. akiendelea kukusumbua huyo atakuwa na uchizi kamili. Mpe talaka kisha umpe hela ya matumizi ya kila mwezi uone gharama zake. Ewe mwanammme punguz watoto wa mitahani,wanawake walio wengi hawajui kuishi na wanaume vizuri. Mkitaka kuoa msikulupuke.
 
Wewe jamaa tumekuchoka bhana..wee mwanaume kweli? ??????
 
Jamani hebu jaribu kukaa na mkeo mumalize tofaut kati yenu mambo hayo mpaka lin? Huku jf wengi wapotoshaji hebu jisimamie unao watangazia matatizo yako nao wanayo mzito kushinda yako tulia ujifkirie na mwisho wa yote ni faraja
 
wanawake wengne km wameshushiwa mapepo
 
Kama lengo akuharibi kibarua unampa hela ya nini sasa.....akili zake hazina akili
 
Eleza ueleweke kisa cha kuja kukufanyia fujo ni nini isjekuwe wewe ni kapombee matumizi hutoi familia inateseka
 
Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.

Story yako ipo nusu mkuu,yani alianza ghafla tu kuja ofisini kufanya fujo na kuleta mtoto bila sababu ya msingi??

Funguka tukusaidie
 
Story yako ipo nusu mkuu,yani alianza ghafla tu kuja ofisini kufanya fujo na kuleta mtoto bila sababu ya msingi??

Funguka tukusaidie

ana threads kama mbili hivi za stori ilikoanzia... ye kila kitu kikitokea anafungua uzi...
 
ofisi yenu haina Walinzi? Waambie wafanye kazi ya kuzui wageni kuingia bila appointment...
 
Back
Top Bottom