BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Mzee ushaona mtu anauza moja 20k hata nguvu ya kuendeleza hiyo chat unapataje[emoji4][emoji4]ungeendeleza chat ili kubaiini kama kwelia anauza au la
mfano ungemwambia au "wewe una kiasi gani mbele kwa nao moja" ungesikilizia namba mpya ingejibu nini?!
ukigundua anauza dai risitiWakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kumuuliza na yeye kutojibu,wanasaikolojia wanakwambia swali ulilohoji ndilo jibu sahihi!Wakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi5Naona ungekutana na msg Kama hii ungezirai [emoji2986][emoji2986][emoji2986]View attachment 1419034
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
kwahyo mzee ukaomba kuzibua mtaro.Naona ungekutana na msg Kama hii ungezirai [emoji2986][emoji2986][emoji2986]View attachment 1419034
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"