Hi wadau,
Mi ni mgeni Hapa JF ila napenda kushare Jambo linaloninyima usingizi.
Mke wangu anataraji kusafiri kwenda ughaibuni ifikapo mwezi wa nane,nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae katika mji mkoa mmoja Hapa Tz.
Safari yake hii imegubikwa na utata kutokana na kwamba mlezi wake amemwita na hajui atachukua muda gani huko ughaibuni,Maisha yetu hapa bongo si mazuri sana,na yeye anashawishika kumwacha mtoto kwa mzazi wake na kwenda ughaibuni.
Sasa inaniwia ugumu kumuachia aende.
Hebu put yourself in my shoes ingekuwa wewe ungelifanya nini,ukizingatia invitation imeshafika na process za visa na tiketi zinaendelea, naomba ushauri on a serious note kwa wadau.
Depressed hubby
Sent from my iPhone using JamiiForums