ngoja ajeTuambie unaanzaje mapenzi.....au ukiona mashavu tu mkuyenge shwaaaa kavu kavu hamna hata utelezi. Uwe unaweka hata tumate bas
Dhamira ya kuichapa mpaka akojoe inaweza ikawepo, tatizo uwezo ndio hakuna.Kama kaongea ukweli suluhu si kuachana Bali hakikisha unaichapa had anakojoa japo mara moja moja.
Hakuna mwanaume asiyeweza kumfikisha mwanamke.Dhamira ya kuichapa mpaka akojoe inaweza ikawepo, tatizo uwezo ndio hakuna.
Unakuta moyo unataka ila bolo limesanda tayari. Huwezi kusingizia tumbo la kuhara kila siku.
View attachment 3088807
Ikiwa haina nguvu afanye nini.Kwa unavyoona kaongea ukweli au kadanganya?
Kama kaongea ukweli suluhu si kuachana Bali hakikisha unaichapa had anakojoa japo mara moja moja.
Mkuu mambo ni mengi sana unajikuta umechoka na kuhisi umemaliza kila kitu lakini cha kushangaza miaka mitatu yote ndyo aje aniambie leo na ndyo nahisi kuna muhuni tayariKwa unavyoona kaongea ukweli au kadanganya?
Kama kaongea ukweli suluhu si kuachana Bali hakikisha unaichapa had anakojoa japo mara moja moja.
Shukuru Mungu kafunguka Japo kwenye uhalisia inaweza kuonekana chai ya motoHabarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.
Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.
Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?
Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.
Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Ahsanteni